Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #281
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata Jovina Mwakiyee (33) mkazi wa kijiji cha Mang'ula A wilayani Kilombero kwa tuhuma za kula njama na kumuua mume wake wa ndoa ambaye ni mwalimu mkuu wa shule ya msingi Signal, Christian Tangaraza mwenye umri wa miaka 39.
Tukio hilo lilitokea usiku wa June Mosi mwaka huu ambapo marehemu aliuawa kwa kupigwa na kitu butu wakati akiwa amelala ndani ya nyumba yake
Azam TV wameripoti
Halafu walishona hadi sare 😭😭😭
Tukio hilo lilitokea usiku wa June Mosi mwaka huu ambapo marehemu aliuawa kwa kupigwa na kitu butu wakati akiwa amelala ndani ya nyumba yake
Azam TV wameripoti
Halafu walishona hadi sare 😭😭😭