Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Wewe unaombea nini?Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Afya zilizozorota ndo chanzo cha upendo kupungua. Dume limenenepeana hadi anakuwa kero kwa mwenzake, hii huambatana na harufu mbaya ya mwili.Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
[emoji23][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]hayo mambo ni madogo na yanarekebishika kama wawili wakiamuaAfya zilizozorota ndo chanzo cha upendo kupungua. Dume limenenepeana hadi anakuwa kero kwa mwenzake, hii huambatana na harufu mbaya ya mwili.
Vivyo hivyo kwa mwanamke, kula kula hovyo shape yote imekongoroka, tumbo linaninginia chini kwa sababu ya kula hovyo.
Hapo sasa mtu anatafuta furaha zaidi ya kimwili kwa mwingine.
Ila ndo dunia hivyo inavyorufanya, labda tujifunze upya kupenda kama inawezekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kweli tupuWanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Daaah!! Inasikitisha sana.Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Kabila gani?..naona mwataka kulianzisha tena, lolz...kuna kabila flani linasemwa sana aisee..
Umekuwa mtaalamu wa kufukua eeh!!Kabila gani?
Mungu asaidie, Yaliyo MAPENZI yake tu! yatimie kwakila alichokiumba.Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Swahiba huu Uzi unawahusu wale watu wa makamoWanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Njoo nikupe hug la maana babyI really need a hug today!