Wanandoa wengi hawapendani

Wanandoa wengi hawapendani

Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.

Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Wewe unaombea nini?
 
Afya zilizozorota ndo chanzo cha upendo kupungua. Dume limenenepeana hadi anakuwa kero kwa mwenzake, hii huambatana na harufu mbaya ya mwili.
Vivyo hivyo kwa mwanamke, kula kula hovyo shape yote imekongoroka, tumbo linaninginia chini kwa sababu ya kula hovyo.
Hapo sasa mtu anatafuta furaha zaidi ya kimwili kwa mwingine.
Ila ndo dunia hivyo inavyorufanya, labda tujifunze upya kupenda kama inawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]hayo mambo ni madogo na yanarekebishika kama wawili wakiamua

Jr[emoji769]
 
Mshana Jr,
Uliyoongea ni Amini na kweli, Wanandoa wengi hawapendani ni ukweli usiopingika.
Tafiti za Ndoa nchini Tanzania zinaonyesha talaka zimeongezeka, Nchini Afrika kusini katika kila ndoa 5 mbili zimetalikiwa na mauaji ya kimapenzi yameongezeka sana, Uingereza ndoa 4 kati ya 10 zinaishia kwenye talaka. Nchini Marekani ndoa zilizofungwa kuanzia Mwaka 1970 Zaidi ya nusu zimevunjika. Kwa sehemu kubwa hata zile ndoa zinazoonekana zipo hai, hazipo hai isipokuwa wameendelea kuvumiliana kuwa pamoja kwa sababu mbalimbali ikiwemo Watoto, Imani ya Dini, Shinikizo la Ndugu au Wanaukoo, Utegemezi wa Kiuchumi n,.k
Moja kati ya chanzo cha talaka hasa kwa jamii ya Kitanzania ya kizazi kipya ni kuwa vigezo vya waolewaji au waoaji ni kuweka upendo kwenye Vitu badala ya upendo kwa Mtu mwenyewe.
Kwa mfano kigezo cha Fedha au utajiri,
Kigezo cha Elimu,Cheo au Madaraka,
Kigezo cha Ukoo wenye Hadhi fulani kwenye Jamii
Kigezo cha Shape. nk, n.k
Vitu vya aina hii na vinavyofanana navyo vinaweza kubadilika na au kutoweka kabisa, na hapo Upendo lazima utatoweka.
Ushauri wangu Mpende Mtu kama alivyo, oa au olewa na mtu kama alivyo. mafanikio mtatafuta wewe na yeye kwa kuwa Utajiri na heshima, utajiri udumuo na Mke/ Mme mwema hutoka kwa Mungu.
WANANDOA WENGI HAWAPENDANI CHANZO NI TAMAA
 
Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.

Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Daaah!! Inasikitisha sana.
 
Uhalisia wa ndoa ni Mateso.
Ndio maana Kwenye kiapo huwa wanasema watapendana Kwenye shida na raha mpaka kifo kiwatenganishe.
Kwa Kikristo.
Lakini wengi husahau kuwa waliapa kupendana katika shida pia.
Kuna Ndoa zinapitia magumu sio mchezo.
Inafika hatua unamsikia mwanamke anamwambia mme wake.
Sitokaa nikupende tena, Labda nife nizaliwe upya. Lakini jamaa bado amekomaa nae.
Kuna tabu huko lakini tutafanyaje?
 
Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.

Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Mungu asaidie, Yaliyo MAPENZI yake tu! yatimie kwakila alichokiumba.
 
Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.

Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Swahiba huu Uzi unawahusu wale watu wa makamo
 
Back
Top Bottom