Buchumipetro
Member
- Mar 7, 2025
- 20
- 33
Wanandoa wengi makadilio ni 70% ya wanandoa wanaishi kama maadui ndani ya nyumba
yani hawana upendo kabisa ukifikili kwa undani ni mabadiriko ya akili ambayo ufanyika kwa wanandoa wengi sana
wakati mnaoana mlikuwa mnaitana majina mazuri sana na akili zenu zilikuwa zikiwaza tu upendo na pia mlijitahidi kila mmoja asimuudhi mwenzake
lakini mnapofika mda fulani mnaanza kuzoeana nakuanza kujidhalau
hii inapelekea kuondoa upendo katika akili yenu hadi moyoni
lakini madhala yakuondoa upendo akilin hadi moyoni na madhala yakumuchukulia poa mwenzako uliekuwa ukimuheshimu nakuogopa kumuudhi na madhala yakuacha kumuita majina ulokuwa ukimuita zamani
MADHALA;
°mwenzako atabadirika pia na tena nae atajikuta akili yake haiwazi upendo kwako kwasababu unakuwa tayali umemharibu kifikila tena moyo wake utajaa maumivu kwa wewe kuondoa ulokuwaukimfanyia au namna ya kumuita na hapo ndipo utashangaa sana mabadirko ya mwenzako na wakati wewe ndo ulianza
chunga sana usianzishe ubaya wowote kwa mmeo au mkeo