Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Yawezekana uko njian kwenye kufunga ndoa
yawezekana bado unafikiri utaoa ama kuolewa lini
yawezekana uko ndani ya ndoa lakini ujaona tofauti na maisha ya ukapera
takwimu zinaonyesha wanandoa wengi hasa waliooana hivi karibuni na wanaoendelea kuoana wanaishi kwa upweke kwenye ndoa kuliko maisha ya ukapera
wakiwa na simanzi baadhi ya wanandoa wamesikika wakisema kwa kweli ndoa ni kutoka kwa mungu lakini ndoa nyingi siku hizi zinalazimishwa nikimaanisha wengi wanaoana ama kwa kuwa wamekaa miaka mingi bila ndoa aka uzee ama wengine ni kuona washikaji wakila viapo na kuishia kuhudhuria sherehe za watu na kuamua na wao kutafuta mtu wa cap chap
kwa maneno haya si kukwambia usiache kuoa ama kuolewa la hasha tafuta right husband or wife usiangalie how long uko bila ndoa angaliia je mume halisi wa miaka yangu 32 /35 amefika ni ni mtu sahihi ama mke wangu ni huyu sahihi huku mbele ukitanguliza maombi mungu akupe mtu sahihi si kazi ndoogo kama wanavyofikiri wengi kwenda kuapa kanisani na kurudi vyumban wakisakata disco..la hasha ni nini kittaatokea baada wiki ya furaha na nini cha kufanya hayo ndio mambo muhimu tunayotakiwa kuafikiria najua wapo baada ya harusi wanakimbizana kulipa yale madeni ya whisky na wine walizkopa kwa ajili ya harusi anyway hivyo ni vichache je baada ya madeni utaishugulikiaje ndoa yako kazi kweli kweli