Wanangu sijawafundisha kuwa wake bora nimewafundisha kupambana na maisha.

Wanangu sijawafundisha kuwa wake bora nimewafundisha kupambana na maisha.

Mafundisho yote ya kupambana na maisha na kuwa mke bora yanaweza kwenda sambamba kwenye malezi sioni kama kuna ulazima wa kumfundisha binti kimoja na kuacha kingine
I can guess boss ni Single Maza.

Wanajifanyaga wapambanaji lakini ni Wadangaji waliokubuhu.
 
Boss wako amejenga kizazi cha ajabu Sana cha kataa NDOA na single mother

Huwezi kumtenganisha MUNGU na NDOA, anaejenga mazingira ya kuishisha NDOA anajenga mazingira ya kumshusha MUNGU B'se MUNGU ndie mwanzilishi wa NDOA na akaweka vitu vyote NDANI ya NDOA

Hayo Mambo yote wanayoyafanya MUNGU aliyaweka NDANI ya NDOA Kwaiyo kulikua hamna sababu ya kuishusha NDOA mbele ya watoto wake.

amejenga Kizazi cha uzinzi na uasherati kamwe usifuate mafundisho yake

Heshima ya MWANAMKE ni NDOA 📌
 
Maadili nayo ni mambo ya msingi sana, anaweza akajitegemea vizuri kabisa lakini akawa na maadili mabovu mfano Malaya Kila mtoto na baba yake hivyo kuzua tatizo jingine tena nk...nadhani kujitegemea kunaweza kwenda sambamba na masuala ya ndoa na mahusiano kama tu mtoto atatambua Hali halisi ya namna ulimwengu ulipo na unavyokwenda Ili basi mtoto asihadaike na awe na misimamo na mtazamo wake binafsi na wenye kufaa kuhusu mahusiano na ndoa...mijini Kuna wanawake wana biashara zao kubwa na wameolewa na wana familia zilizo Bora kabisa.
 
Uzi bora kabisa huu, the late boss wako alitaka wanae wakue katika misingi ya kujitegemea. Na sio kutegemea mwanaume which payed he did his work and he's still honerd where ever he is
 
Uzi bora kabisa huu, the late boss wako alitaka wanae wakue katika misingi ya kujitegemea. Na sio kutegemea mwanaume which payed he did his work and he's still honerd where ever he is
Yes boss wangu hakupenda watoto wake wateseke alikuwa mtumishi wa serekali yenye level ya diploma (Clinical medicine ) lakini alikuwa na miradi nyingi tu..kipindi sekeseke linaanza kwa mara ya kwanza kipindi Cha Magufuli kuhusu kikokotoo aliomba kustafu akiwa na miaka 45,wala hakuwa na wasiwasi kuomba kustafuu.


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom