Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
I can guess boss ni Single Maza.Mafundisho yote ya kupambana na maisha na kuwa mke bora yanaweza kwenda sambamba kwenye malezi sioni kama kuna ulazima wa kumfundisha binti kimoja na kuacha kingine
Kuna wanao pambana na hakuna utaofauti miaka nenda miaka rudi, kuna wanao lishwa ,kuna walio kataa tamaa, ,kuna waliorudishwa nyuma .Yote kheri .Hahahaa kauli za kujifariji hizi.
Kupambana kilamtu anapambana hakuna anayelala wala kulishwa.
No boss wangu alikuwa Mwanaume ,rejea andiko vizuri..alifiwa na mkewe akalea binti zake..I can guess boss ni Single Maza.
Wanajifanyaga wapambanaji lakini ni Wadangaji waliokubuhu.
Yes boss wangu hakupenda watoto wake wateseke alikuwa mtumishi wa serekali yenye level ya diploma (Clinical medicine ) lakini alikuwa na miradi nyingi tu..kipindi sekeseke linaanza kwa mara ya kwanza kipindi Cha Magufuli kuhusu kikokotoo aliomba kustafu akiwa na miaka 45,wala hakuwa na wasiwasi kuomba kustafuu.Uzi bora kabisa huu, the late boss wako alitaka wanae wakue katika misingi ya kujitegemea. Na sio kutegemea mwanaume which payed he did his work and he's still honerd where ever he is
Alikuwa single father mkuuI can guess boss ni Single Maza.
Wanajifanyaga wapambanaji lakini ni Wadangaji waliokubuhu.