Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Hajazungumzia maliKwa hiyo tusinunue magari makali kisa yanakula mafuta ? Kwani wewe unafikiri tofauti na mafuta gari inatakiwe ile nini blaaaza?
Hata mimi sijazungumzia mali proton pump inhibitor.Hajazungumzia mali
Salute sanaOya wanangu, sikilizeni hii gospel straight kutoka street za roho zilizochoka. Bro, usioe pisi kali bana! Yaani narudia loud and clear – DON’T WIFE A BADDIE! Hao ni wa ku-pass around tu kama blunt ya ghetto, si wa kuweka ndani kama wife material.
Hii ni warning ya mtaa – pisi kali ni zile demu za kuchoma IG na TikTok, kila saa selfies, filters, na mashavu ya dollar signs. Bro, ukioa huyo utalia damu. Leo mpo honeymoon, kesho mpo divorce court – na bado utaacha assets zako zote kwa hiyo slay queen. She’ll drain your soul, your wallet, and your dreams – no cap!
Wanangu hizi demu ni for vibes tu, not for life. Ni za kukatiana weekend pale Mlimani City au kwa hookah spot, unampeleka The Slipway then unarudi home peke yako. Akiwa mrembo sana, shukuru Mungu... but don’t be stupid bro – never fall in love na packaging. Most of them ni product ya Photoshop na heartbreak za ex wao.
Mtafute dem wa kawaida, anayeweza kupika maharage bila pressure, anayejua mpangilio wa nyumba sio TikTok trends. Ukitaka maisha ya amani, wife the calm not the chaos. Pisi kali ni fire, but fire inakuchoma – unataka moto jikoni siyo bedroom bro!
In short – STAY SHARP, STAY REAL.
Usioe pisi kali. Chepukia tu. Alafu tembea. Peace out!
#UsioePisiKali
#StreetWisdom
#GhettoGospel
#RealTalkFromTheHood
Swali zuri , kuna namna tuna person conflict na pisi kali , kisa tu hatuna pesa ,huo ugonjwa hata mimi ninao , ila kiukweli kila mwanaume anatamani kumiliki chombo sema ndio hivyo tu.Kwahiyo pisikali waolewe na nani?
Kuna watu wengine akiwa na maisha yakawaida anaoa wakufanana naye ktk hali ya wakati huo, lakini siku akifanikiwa maisha mazuri anatisha yule eti sio type yangu😂, najiulizaga kwanini usimtengeneze huyo ili aonekane pisi kali?Swali zuri , kuna namna tuna person conflict na pisi kali , kisa tu hatuna pesa ,huo ugonjwa hata mimi ninao , ila kiukweli kila mwanaume anatamani kumiliki chombo sema ndio hivyo tu.
Ila we jamaa day! 🤣Kwa hiyo tusinunue magari makali kisa yanakula mafuta ? Kwani wewe unafikiri tofauti na mafuta gari inatakiwe ile nini blaaaza?
Kumbe wewe ni mdada eee😁Kuna watu wengine akiwa na maisha yakawaida anaoa wakufanana naye ktk hali ya wakati huo, lakini siku akifanikiwa maisha mazuri anatisha yule eti sio type yangu😂, najiulizaga kwanini usimtengeneze huyo ili aonekane pisi kali?
Mnatuchanganya Sana jamani
Ndio hivyo blazaaIla we jamaa day! 🤣
Rudia kusoma bro! Utanelewa vizuri sana 🙏🏽This thread is unhinged 🙄
Let say mtoto wako wa kike anakuja kua pisi Kali hii imekaaje utapenda achezewe?
This Kenyan boy 😬
Huyo sio bro ni mtoto mzuri bwasheeRudia kusoma bro! Utanelewa vizuri sana 🙏🏽
Embu tulia na niache kidogo, natizama cloud Ibada ya mazishi ya Padre NkweraKumbe wewe ni mdada eee😁
Jaribu kutumia oil chafu bro huwa gari zinatembea hivyo hivyo😅Kwa hiyo tusinunue magari makali kisa yanakula mafuta ? Kwani wewe unafikiri tofauti na mafuta gari inatakiwe ile nini blaaaza?