😂😂😂😂😂1. Oa pisi inayoendana na ww kimuonekano.
Namaanisha uzur wa mkeo usizidi sana Kiwango jinsi mwanaume ulivyo.
Kuna wanaume sura ngumu alaf unajitutumua kuoa pisi kali kisa una hela .
Bro hela huisha na kitakachofuata ni kufanyiwa visa ili mtakakiane na mgawane mali.
2. Kama hali yako papatu papatu, na age imesogea na raman hazisomi, OA mwanamke wa kawaida tu.
NB: Ila bana mke anatakiwa awe mzur, inafurahisha sana kuamka asubuh pemben kuna mrembo hata kama hajanawa uso ila unaona uko na pisi.
Sasa unaishije na mtu anaamka asubuh uso umevimba kama fenesi, dah!
😂😂😂😂 unapata mahasira ya kiwaki tu
Nyi utondo kpsa meku😅Jaribu kutumia oil chafu bro huwa gari zinatembea hivyo hivyo😅
Kisa ni hujiamini, na hujiamini kisa huna pesa.Swali zuri , kuna namna tuna person conflict na pisi kali , kisa tu hatuna pesa ,huo ugonjwa hata mimi ninao , ila kiukweli kila mwanaume anatamani kumiliki chombo sema ndio hivyo tu.
Mapisi kali wenyewe mnacheka tu😂😂😂😂😂
😅😅😅 and YOU NO MALICE TO NO BODYKataa ndoa haijalishi ni pisi kali au butu!
Meku wandu nyi watondo nawiNyi utondo kpsa meku😅
Ni kwel sina pesa , ila nasisitiza tufokasi na pisi kali , mnategea sana bwasheeKisa ni hujiamini, na hujiamini kisa huna pesa.
Mimi sio kutokua na pesa ila ni bahili tu, ela yangu inaniuma kuipa pisi ambayo hata ukiipata bado mizagamuo ya kupimiana. Wakati hela hiyohiyo unaweza kula pisi kibao.
True kabisa.😂😂😂😂😂
Waimbaa pisi kali yekela besa/ helerii cha kibobori wai🤔Meku wandu nyi watondo nawi
😀 hahaand YOU NO MALICE TO NO BODY
Hapana sio wote wapo hivyo, niliwahi mbona pisi kali kaolewa na huyo bwana jamani mpaka unajiuliza huyu dada alikosa nini kuolewa na huyu? Halafu nilikuwa ndogo nikawa namshangaa walikuwa jirani zetu halafu akawa anamnyanyasa kweli anampiga mkewe yaani daa 😭😭😭 yule kaka anatisha ukimtizama , lakini yule mrembo yupo Tu sijui kurogwa kule!Ujue tu sio wako peke yako. Ukishajua hilo oa.
Sawa nimekuelewa ila Sasa hao unaowaona kwenye tick tock ndo ma bint zetu watakavokuja kuiga hayo Sasa ndo akiwa pis Kali aje achezewe??Rudia kusoma bro! Utanelewa vizuri sana 🙏🏽
😂😂😂😂 mbna hatariiii hiiiTrue kabisa.
Sio Pisi inafika kilelen ikibana meno unaona kabisa Mamba hii hapa.
Pisi kali ndio mpango mzima.
Unaanza kupata shida kutambulisha mara usimwone hivi ana PhD eti 🚮True kabisa.
Sio Pisi inafika kilelen ikibana meno unaona kabisa Mamba hii hapa.
Pisi kali ndio mpango mzima.
Reply yako na post hata haviendaniKwa hiyo tusinunue magari makali kisa yanakula mafuta ? Kwani wewe unafikiri tofauti na mafuta gari inatakiwe ile nini blaaaza?
Leka walye na wandu waichi itumia.Waimbaa pisi kali yekela besa/ helerii cha kibobori wai🤔
Kianjo nyi kiumu meku😁Leka walye na wandu waichi itumia.
Yeye amedescribe tabia za pisi kali ambazo zina kera wanaume....This thread is unhinged 🙄
Let say mtoto wako wa kike anakuja kua pisi Kali hii imekaaje utapenda achezewe?
This Kenyan boy 😬