Wanangu! Usioe PISI KALI – Utakufa Maskini na Moyo Kufeli!

Et wapare nao wanamashape aiyeeee
 
Sasa wataolewa na na ni? Bro hatufanani kwa sura, kazi, peas, ukwasi, huyo unayemuona pis Kali, kwa wengine ni wakawaida tu, cha muhimu tafuta wa saizi yako
 
Swali zuri , kuna namna tuna person conflict na pisi kali , kisa tu hatuna pesa ,huo ugonjwa hata mimi ninao , ila kiukweli kila mwanaume anatamani kumiliki chombo sema ndio hivyo tu.
For sure!
Sema tu watu wanajifanya sungura sizitaki mbichi hizi.
 
 
Wewe kweli dunia huijui!!!! Yaani kweli wewe ni mwanaume unathubutu kufanya conclusion ya namna hii? Eti unasema
''Kuna wanaume sura ngumu alaf(sic) unajitutumua kuoa pisi kali kisa una hela''. Nani kakudanganya kuwa wanaume wanakuwaga wazuri wa sura? Nani kakudanganya kuwa wanawake wanafuata sura nzuri kwa wanaume? Unajua kitu kinachoitwa fedha? Basi ndiyo kitu muhimu kwa mwanamme. Baki na li-sura lako lizuri usipoona unagongewa na tena unaambiwa usaidie kushika miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…