Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Du Sio poa 😁😁Ratiba zao kulala saa saba usiku hapo amekutafuta malaya anaenda kukesha kwenye kiuno cha malaya
Kuamka saa moja kwenye visungura😄😄😄😄
Kweli Mkuu! Kwenda kanisani sio ishara ya mtu kuonekana ndo hajafungwa ... Speaking from hoja ya vifungo, as he's mentionedKwenda kanisani na kusali ni vitu viwili tofauti! makutupora dosho12 Intelligent businessman
Ebu ifike mahali maafisa usafirishaji mtu heshimu hussle zetu, tunalisha kupitia boda boda mzee
Hata wauza uduvi tunalisha familia zetu kupitia biashara ya uduvi, mkuu aheshimu uwepo wetu.Kwenda kanisani na kusali ni vitu viwili tofauti! makutupora dosho12 Intelligent businessman
Ebu ifike mahali maafisa usafirishaji mtu heshimu hussle zetu, tunalisha kupitia boda boda mzee
KUNA JAMAA YANGU UWA NAMUONA ANAENDA CHURCH KIMAZOEA KABISA MAANA NI MUHUNI SANA ATA MATENDO YAKE SIO KABISA NA KILA JUMAPILI LAZIMA AENDE CHURCH ATA KAMA ANA HANGOVER AU KATOKA KUZINI USIKU WAKEKweli Mkuu! Kwenda kanisani sio ishara ya mtu kuonekana ndo hajafungwa ... Speaking from hoja ya vifungo, as he's mentioned
Mtu anaweza kwenda kanisani kila jumapili au kila jumamosi lakini asinufaike kwa chochote!
Kuna watu wanaenda Chachi kwa sababu ya mazoea! Hiyo ibada
Kuna watu wanaenda Chachi kwa sababu tu ya kutoonekana kuwa sio waasi!
Kuna pipo zinaenda chachi ili siku akifa kanisa lisije likamtenga katika kuzika maiti yake! Huu ni uzwazwa ... Ulikuwa na Simba nyikani nani atakuzika?
Ni wachache sana wanao kwenda chachi kwa ya kwenda kuabudu ... Worshipping the Lord it's all about intimacy and fellowship (Koinonia)
Ni wachache wanapenda chachi strategically ... Kujifunza na kuongeza Maarifa kwa neno la Mungu! Kupata ufunuo na majibu ya maisha yao
Yesu alisema " Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure ..."
Afu Kuna wakina sisi .. no church but we love the Lord
Tunasali na kufunga plus kutoa fungu la kumi
Tunasoma neno na kulitafakari plus kuliweka katika matendo ... Sign and Token
Tunafatilia online services
Ila church hatuendiiii ... Hatupendiii ila sisi majobless tunapitia mengi
Dharau ziko wapiHizi ni dharau, usidharau kazi zetu
Hongera upo hatua nzuri ukienda kanisani utakuwa zaidi kirohoKweli Mkuu! Kwenda kanisani sio ishara ya mtu kuonekana ndo hajafungwa ... Speaking from hoja ya vifungo, as he's mentioned
Mtu anaweza kwenda kanisani kila jumapili au kila jumamosi lakini asinufaike kwa chochote!
Kuna watu wanaenda Chachi kwa sababu ya mazoea! Hiyo ibada
Kuna watu wanaenda Chachi kwa sababu tu ya kutoonekana kuwa sio waasi!
Kuna pipo zinaenda chachi ili siku akifa kanisa lisije likamtenga katika kuzika maiti yake! Huu ni uzwazwa ... Ulikuwa na Simba nyikani nani atakuzika?
Ni wachache sana wanao kwenda chachi kwa ya kwenda kuabudu ... Worshipping the Lord it's all about intimacy and fellowship (Koinonia)
Ni wachache wanapenda chachi strategically ... Kujifunza na kuongeza Maarifa kwa neno la Mungu! Kupata ufunuo na majibu ya maisha yao
Yesu alisema " Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure ..."
Afu Kuna wakina sisi .. no church but we love the Lord
Tunasali na kufunga plus kutoa fungu la kumi
Tunasoma neno na kulitafakari plus kuliweka katika matendo ... Sign and Token
Tunafatilia online services
Ila church hatuendiiii ... Hatupendiii ila sisi majobless tunapitia mengi
Tuzidi kuombeanaaHongera upo hatua nzuri ukienda kanisani utakuwa zaidi kiroho
Hizi Takwimu za vijana wa Jf😃😃😃, kaona kundi la watu wachache akajumuisha boda boda wote, Atuambia ni kazi gani ambayo watu wake 100 percent wanaenda makanisani na misikitini pia hawana uhuniKwenda kanisani na kusali ni vitu viwili tofauti! makutupora dosho12 Intelligent businessman
Ebu ifike mahali maafisa usafirishaji mtu heshimu hussle zetu, tunalisha kupitia boda boda mzee
Malizia hapo mkuu ili nenoBodaboda wanahitaji maombi sana ili wamrudie Mungu Hawa vijana ni kama wengi wamefungwa bila wao kujua.
Kanisa ndio sehemu sahihi ya mtu kupata msaada na maarifa ya kupata pesa kihalali huko club na sehemu zingine za starehe hamwezi kupata mafanikio ujumbe wangu fanyeni kazi msimsahau Mungu