Kwenda kanisani na kusali ni vitu viwili tofauti!
makutupora dosho12 Intelligent businessman
Ebu ifike mahali maafisa usafirishaji mtu heshimu hussle zetu, tunalisha kupitia boda boda mzee
Kweli Mkuu! Kwenda kanisani sio ishara ya mtu kuonekana ndo hajafungwa ... Speaking from hoja ya vifungo, as he's mentioned
Mtu anaweza kwenda kanisani kila jumapili au kila jumamosi lakini asinufaike kwa chochote!
Kuna watu wanaenda Chachi kwa sababu ya mazoea! Hiyo ibada
Kuna watu wanaenda Chachi kwa sababu tu ya kutoonekana kuwa sio waasi!
Kuna pipo zinaenda chachi ili siku akifa kanisa lisije likamtenga katika kuzika maiti yake! Huu ni uzwazwa ... Ulikuwa na Simba nyikani nani atakuzika?
Ni wachache sana wanao kwenda chachi kwa ya kwenda kuabudu ... Worshipping the Lord it's all about intimacy and fellowship (Koinonia)
Ni wachache wanapenda chachi strategically ... Kujifunza na kuongeza Maarifa kwa neno la Mungu! Kupata ufunuo na majibu ya maisha yao
Yesu alisema " Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure ..."
Afu Kuna wakina sisi .. no church but we love the Lord
Tunasali na kufunga plus kutoa fungu la kumi
Tunasoma neno na kulitafakari plus kuliweka katika matendo ... Sign and Token
Tunafatilia online services
Ila church hatuendiiii ... Hatupendiii ila sisi majobless tunapitia mengi