Wanangu wa uswazi, wanangu wa singeli, inakuwaje Haji Manara anamzingua mwana, Dulla Makabila, halafu tumekaa kimya? Tumpe za uswazi!

Wanangu wa uswazi, wanangu wa singeli, inakuwaje Haji Manara anamzingua mwana, Dulla Makabila, halafu tumekaa kimya? Tumpe za uswazi!

Na yeye sicAjiweke kwa Ex wife wa karoti apoteze machungu.
 
angekua kaje double killer 45 ningeingilia kati ila uyo dulla amna kitu hainbi singeli anaimba michambo sku hz
 
Jamaa yenu akubali kusonga mbele na atafute mwnamke mwingine
 
Back
Top Bottom