Wananisakama kuhusu meno yangu hadi tabasamu langu limeisha

Wananisakama kuhusu meno yangu hadi tabasamu langu limeisha

We tabasamu tu ili wayazoee ukiendelea kuyaficha hawatayazoea. Mbona harmorapa walimwita sokwe lakin akafurahia tu na saiz wanaona kawaida hivi vitu ni vya kawaida sana
 
Pole sana kwa hilo. Kwanini ukose Furaha kwasababu ya watu hao?
Nakulaumu kwa kuikaribisha huzuni hali ya kuwa wewe si kilema. Yaani meno tu!!!! Wakikucheka wewe ongeza kuwaonesha meno. Wapo watu wanaoweza kosa Furaha ila si kwa meno ya aina hiyo
 
0763 403 061 doct hosp inaitwa maria Arusha
 
We unadhani waliotengeneza meno ya dhahabu walipata wapi idea ? Waliangalia meno ya watu wa Arusha yakawavutia wakaona na wao watengeneze kama hayo...
 
Back
Top Bottom