ndakushima
JF-Expert Member
- Jul 27, 2015
- 220
- 124
hahahahahaha mbna meno mazuri jmnii na mwanya pengine wanafurahi tu huo mwanya wakoPicha hio apo kwenye avatar mkuu
hebu tuma kavideo ukiwa unacheka
Hio apo kwenye avatarHebu tupia kapicha tuyaone
Nononono BAK mimi sijakosoa mtu jamani jamani mi nimeomba kapicha tu jamaniiii tupiapo bathii [emoji12]
Hebu naomba unipe jina la hosp au number y doctor tafadhaliHospital ni za private tu ndio huwa wanatoa hizo huduma na zilivyo ghali sio mchezo.
[emoji106] [emoji106] [emoji31] [emoji31] [emoji30]Sawa nimekuelewa Mahondaw.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hebu tuma kavideo ukiwa unacheka