Wananzengo, tunaenda kula bata wapi?

Wananzengo, tunaenda kula bata wapi?

Savanah namalizia Makutano (Iringa) .Konyagi nyingii msosi kidunchuu.
N:B Watu wananiambia toka nimeanza kunywa konyagi akili zangu zimeongezeka vibaya mnoooo.
 
Ungetuwekea kapicha, ingependeza zaidi
kwanza mnaalikana tu vyengine humu vinakunywa juice tu vinalala! mtu wa hivyo anatoka anaenda kufanya nini si heri alale tu atulize kitovu!..

kutoka ni kunywa kulewa unacheza mpk unakanyaga waya mziki unazima unagombana na dj,na unavimba hakuna wakukushika akijotokeza mtu unamlamba bichwa la pua asubuhi ndugu zako watakukuta selo katika hali ya maghafiriko!..😂
 
Kuburudika ni muhimu sana
 
Hapana mkuu.

Mimi kutoka ni kwasababu its a great way to unwind and catch up with friends au kama kuna restaurant mpya nzuri town naenda pale kujaribu cocktails au kula vyombo kiaina na washkaji.
Muhimu kuburudika na jamii
 
Back
Top Bottom