Mr. Mkwachu Member Joined Jul 14, 2014 Posts 34 Reaction score 2 Jul 20, 2014 #1 Kipi wanatakiwa kufanya wale wahitimu wa kidato cha tano wanao takiwa kwenda jkt kwa mujibu washeria katika awamu ya pili?
Kipi wanatakiwa kufanya wale wahitimu wa kidato cha tano wanao takiwa kwenda jkt kwa mujibu washeria katika awamu ya pili?
george de hero Senior Member Joined Jul 7, 2013 Posts 122 Reaction score 14 Jul 21, 2014 #2 Wahitimu wa Kidato cha tano..? Are u ok
kmhinda Member Joined Jul 9, 2014 Posts 5 Reaction score 2 Jul 21, 2014 #3 kinachotakiwa kwa wale wenye sifa za chuo ni kuandika barua kwnda makao makuu ya jkt kua unaahirisha kwenda jesh had hapo utakapomaliza masom yako ya chuo
kinachotakiwa kwa wale wenye sifa za chuo ni kuandika barua kwnda makao makuu ya jkt kua unaahirisha kwenda jesh had hapo utakapomaliza masom yako ya chuo
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,922 Reaction score 1,149 Jul 21, 2014 #4 Mkuu ni kidato cha tano au cha sita?