Wanao hitajika kwenda JKT kwa mujibu wa sheria

Wanao hitajika kwenda JKT kwa mujibu wa sheria

Mr. Mkwachu

Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
34
Reaction score
2
Kipi wanatakiwa kufanya wale wahitimu wa kidato cha tano wanao takiwa kwenda jkt kwa mujibu washeria katika awamu ya pili?
 
kinachotakiwa kwa wale wenye sifa za chuo ni kuandika barua kwnda makao makuu ya jkt kua unaahirisha kwenda jesh had hapo utakapomaliza masom yako ya chuo
 
Back
Top Bottom