Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Ni wazi sakata la rushwa na ufisadi wa mali za chama ndani ya Chadema taifa ni kaa la moto, na sasa limechukua sura mpya baada ya viongozi wa chadema ngazi mbalimbali kuanza kuonja joto ya jiwe, ikiwa ni pamoja kusimamishwa na kuvuliwa nyadhifa mbalimbali za uongozi walizonazo baada ya kuhoji matumizi mabaya ya fedha, ofisi na rasilimali za chama kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa kitaifa, kama vile makamu mwenyekiti wa chadema taifa.
Hata hivyo, hatua hizo ni mwanzo tu wa kumfika alie gundua na kuhoji ufisadi huo mkubwa, kupitia vikao vya kitaifa ndani ya chama hicho.
Unadhani ni nani anatafutwa ukiachilia mbali mtuhumiwa wa ufisadi mwenyewe?🐒
Mungu Ibariki Tanzania