Wanao hoji ufisadi wa makamu mwenyekiti wa Chadema taifa kufukuzwa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ni wazi sakata la rushwa na ufisadi wa mali za chama ndani ya Chadema taifa ni kaa la moto, na sasa limechukua sura mpya baada ya viongozi wa chadema ngazi mbalimbali kuanza kuonja joto ya jiwe, ikiwa ni pamoja kusimamishwa na kuvuliwa nyadhifa mbalimbali za uongozi walizonazo baada ya kuhoji matumizi mabaya ya fedha, ofisi na rasilimali za chama kwa maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wa kitaifa, kama vile makamu mwenyekiti wa chadema taifa.

Hata hivyo, hatua hizo ni mwanzo tu wa kumfika alie gundua na kuhoji ufisadi huo mkubwa, kupitia vikao vya kitaifa ndani ya chama hicho.

Unadhani ni nani anatafutwa ukiachilia mbali mtuhumiwa wa ufisadi mwenyewe?πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
7000 ya uskiu wa leo ni kuchochea unoko .
Mtoto wa kiume kutumwa tumwa umbea utaja olewa.

Kaza Matako mji mkubwa huu.
 
Bilioni 40 za kagoda limited hakuna aliyefukuzwa.
R.I.P Benjamin Mkapa
 
Mnashindwa kuhoji wizi wa mali za umma kwenye ripoti ya CAG mnahangaika na mia tano tano walizojitolea wananchi. Poor you.
 
Mnashindwa kuhoji wizi wa mali za umma kwenye ripoti ya CAG mnahangaika na mia tano tano walizojitolea wananchi. Poor you.
Bungeni ni marufuku kuhoji ripoti ya CAG,utekaji na katiba mpya.
 
πŸ˜„ ufisadi kwa ela za kutoka wapi?

Tangu wamerudi offisin wanafika hata miez 4?

Ela za ufisadi ni zipi hata ruzuku hawapati

πŸ˜„ πŸ˜„
 
πŸ˜„ ufisadi kwa ela za kutoka wapi?

Tangu wamerudi offisin wanafika hata miez 4?

Ela za ufisadi ni zipi hata ruzuku hawapati

πŸ˜„ πŸ˜„
Gentleman,
viongozi wa chadema wanao hoji na kufukuzwa uongozini wanajua zilikotoka fedha hizo na zilivyotafunwa hususani na Makamu mwenyekiti wa chadema taifa πŸ’
 
Gentleman,
viongozi wa chadema wanao hoji na kufukuzwa uongozini wanajua zilikotoka fedha hizo na zilivyotafunwa hususani na Makamu mwenyekiti wa chadema taifa πŸ’

Gentleman
Kwa utaalamu wako wa siasa unaamini? Haha

I'm sure unajua ni propaganda tu,

Chadema hawana hiyo ela ya kufisadi,

Majuzi tu ulikuwa unawacheka kwa kuomba tone tone then leo gafla kuwe na ufisadi
 
mimi naamini Mungu pekee na sio ufisadi wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa πŸ’
 
Hizi takataka kutoka kwa chawa wa ccm ni za kupuuza tu.
Nchi hii imejaa ufisadi usio na kifani lakini hamsemi mko kimya tu. Bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…