Wanao mkosoa Putin kwa kuchelewesha kumaliza operesheni yake ya kijeshi huko Ukraine wanategemea hisia zaidi ya hoja

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Leo nimekaa na kutafakari ingekuaje kama NATO na EU wasingekuq nyuma ya Ukraine katika vita vyake na Russia.
Ingekua sasa Putin ameshajenga ikulu pale Kyiv na sasa anakunywa mvinyo wake pendwa Spanish red wine.
Uo ni ukweli na ushahidi upo pale Georgia mwaka 2008 alipovamia kuwakomboa watu wa majimbo ya abkhazia na south ossetia, Georgia haikua na usaidizi wowote kutoka EU, NATO wala US, Putin alichukua masaa matatu tu kufika mji mkuu wa Georgia Tbilisi.
Ushahidi mwengine ni pale Chechnya na Crimea ndio wote mnajua kilichotokea.
Asanteni sana
 
Moderators wameruka hewani na neno makario hivyo hivyo 🤣🤣
Bora hata angesema masaburi
 
Leo nimekaa na kutafakari ingekuaje kama NATO na EU wasingekuq nyuma ya Ukraine katika vita vyake na Russia.
Ingekua sasa Putin ameshajenga ikulu pale Kyiv na sasa anakunywa mvinyo wake pendwa Spanish red wine.
Uo ni ukweli na ushahidi upo pale Georgia mwaka 2008 alipovamia kuwakomboa watu wa majimbo ya abkhazia na south ossetia, Georgia haikua na usaidizi wowote kutoka EU, NATO wala US, Putin alichukua masaa matatu tu kufika mji mkuu wa Georgia Tbilisi.
Ushahidi mwengine ni pale Chechnya na Crimea ndio wote mnajua kilichotokea.
Asanteni sana
Aisee hivi unafikiria vita ni hii ambayo CCM alivyo madarakani kunyanyasa Chadema ndio useme ni sawa na putini.
 
Subiri wamarekani weusi wa Nzega waje wakutolee povu kama vile wanaugua Kifafa.
Sawa mvaa kobazi, mwarabu mweusi unayeshinda kwenye mitandao ya makafiri na kijiwe cha kahawa unaishi kwa hisani ya makafiri😀😀😀😀😀
Muda huu ungekua unajifunza lugha ya kiarabu ili uijue Quran
 
Attachments

  • downloadfile-1.png
    downloadfile-1.png
    627.4 KB · Views: 40
Leo nimekaa na kutafakari ingekuaje kama NATO na EU wasingekuq nyuma ya Ukraine katika vita vyake na Russia.
Ingekua sasa Putin ameshajenga ikulu pale Kyiv na sasa anakunywa mvinyo wake pendwa Spanish red wine.
Uo ni ukweli na ushahidi upo pale Georgia mwaka 2008 alipovamia kuwakomboa watu wa majimbo ya abkhazia na south ossetia, Georgia haikua na usaidizi wowote kutoka EU, NATO wala US, Putin alichukua masaa matatu tu kufika mji mkuu wa Georgia Tbilisi.
Ushahidi mwengine ni pale Chechnya na Crimea ndio wote mnajua kilichotokea.
Asanteni sana
Mkuu time will tell, lakini kumbuka juzi hapa Trump aliikumbusha Dunia kitu gani kuhusu uwezo mkubwa wa jeshi la Urusi - hao EU na Uingereza si lolote si chochote kazi kujitia kimbele mbele wakiongozwa na na remnant colonial mentality za yesteryears, genge hilo linajifanya kumkomalia hata Trump, wanataka afanye wapendalo wanaendeleza ndoto zao za mchana eti "wanataka kui-defeat au kuidhoofisha Russia" kwenye battle, how I wish they knew - wanafanya hila kila siku ili Trump awe upande wao ndio maana juzi Trump aliwakwepa akafanya mazungumza ya faragha kwa muda na Putin, sijui leo Tkrump atawambia nini lakini nina uhakika atabuni mbinu za kuwa adaa ili wasiendelee kuwa wana mgasi gasi kila mara kwa njia ya simu, wakati wao hawana uwezo wowote wa kupigana vita na Urusi bila ya kupata msaada kutoka Merikani - yetu macho, watakuja kuaibika kweli kweli.
 
Sawa mvaa kobazi, mwarabu mweusi unayeshinda kwenye mitandao ya makafiri na kijiwe cha kahawa unaishi kwa hisani ya makafiri😀😀😀😀😀
Muda huu ungekua unajifunza lugha ya kiarabu ili uijue Quran
LGBTQ mbona povu? Wapi nimeongelea issue ya udini?
 
Attachments

  • Screenshot_20241005_010637_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20241005_010637_WhatsAppBusiness.jpg
    324.7 KB · Views: 36
Back
Top Bottom