Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Watalipa tu, kweli watu wanapasuka vichwa, watoto wanaomba msaada unaweza hata wavuta kama mbwa ukawatupa porini wakapona ila unaiba fedha na kuacha waangamie, Mungu yupo, kiasasi ni chake.
ModeratorI still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Unyama huu umeletwa na hali ngumu ya maisha iliosababishwa na ccm kuachia umaskini wa kutisha huku kuna wale wasiolipa kodi na mishahara minono. Tofauti ya kipato i kubwa sn.Kuna dereva mwenzetu Lori ilihama njia kidogo...wana kijiji wakamvamia analia anaomba msaada...raia wako busy kuiba mizigo......kama haitoshi wakamkimbiza na kumuua......
Yaani wewe kila kitu ni CCM!?? Roho mbaya haina chama. Uporaji sio Tanzania tu.. pata ajali kwenye karibu nchi zote kusini mwa jangwa la Sahara uone kitachotokea... kuna mambo mengine ni ya mtu binafsi zaidi haina uhusiano na CCM wala chama kingine cha siasa. Watu waliteketea kwa moto Morogoro ila hadi leo gari la mafuta likipinduka watu huenda kupora mafutaUnyama huu umeletwa na hali ngumu ya maisha iliosababishwa na ccm kuachia umaskini wa kutisha huku kuna wale wasiolipa kodi na mishahara minono. Tofauti ya kipato i kubwa sn.
Roho za kishetani hizoKuna dereva mwenzetu Lori ilihama njia kidogo...wana kijiji wakamvamia analia anaomba msaada...raia wako busy kuiba mizigo......kama haitoshi wakamkimbiza na kumuua......
Unyama huu umeletwa na hali ngumu ya maisha iliosababishwa na ccm kuachia umaskini wa kutisha huku kuna wale wasiolipa kodi na mishahara minono. Tofauti ya kipato i kubwa sn.
Sijui ulimsoma mdau ukamuelewa?wakati mwingine tenganisha siasa na uhalisia.Yaani wewe kila kitu ni CCM!?? Roho mbaya haina chama. Uporaji sio Tanzania tu.. pata ajali kwenye karibu nchi zote kusini mwa jangwa la Sahara uone kitachotokea... kuna mambo mengine ni ya mtu binafsi zaidi haina uhusiano na CCM wala chama kingine cha siasa. Watu waliteketea kwa moto Morogoro ila hadi leo gari la mafuta likipinduka watu huenda kupora mafuta
Hata wewe naamin ushapora fedha maiti.Yaani wewe kila kitu ni CCM!?? Roho mbaya haina chama. Uporaji sio Tanzania tu.. pata ajali kwenye karibu nchi zote kusini mwa jangwa la Sahara uone kitachotokea... kuna mambo mengine ni ya mtu binafsi zaidi haina uhusiano na CCM wala chama kingine cha siasa. Watu waliteketea kwa moto Morogoro ila hadi leo gari la mafuta likipinduka watu huenda kupora mafuta
Umewahi kuibiwa?Hakuna mijitu mipumbavu kama mitanzania,hapohapo ikisikia kelele za mwizi,mwizi itakusanya mawe kwenda kuponda na kutia tairi na petroli..Kweli hii ni miongoni mwa nchi ambazo raia wake wana kiwango kidogo cha IQ
Umeandika nn sasa? Kwa hiyo kama umewahi kuibiwa?Umewahi kuibiwa?
Tuanzie hapo kwanza
Umewahi kuibiwa Mali yoyote .?Umeandika nn sasa? Kwa hiyo kama umewahi kuibiwa?