Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Habarini wakuu.
Kuna hawa watu hupost picha/video za kuchekesha kufundisha kuburudisha na vinginevyo katika mitandao kama vile YouTube Instagram Tik Tok nk.
Akili yangu inaniambia hii ni biashara lakini huwa nabaki na swali kama ni biashara hawa watu huwa wanalipwa vipi/wanapataje faida.
Naombeni ufafanuzi wakuu niangalie namna ambavyo naweza kujipanga kuiendea hii fursa.