Wanao post clip kwenye mitandao ya kijamii hupata vipi kipato?

Wanao post clip kwenye mitandao ya kijamii hupata vipi kipato?

Sasa unamaanisha Nini kuandika kwamba ID yake imekaa negative? Usivunge maana yako Ni kuwa unahofu kuwa anaweza kuwa masikini kweli. Hiyo Ni imani vilevile
Anaweza kuwa maskini kivip? Unaelewa unachokiandika kweli wewe? Au unavyoelewa wewe unalazimisha mimi nielewe hivyo ? Ukijiita mat,,,,ko nikwel utabadilika na kuwa hivyo? Na hilo jina lina sound vizuri?
 
Naelewa mkuu itabidi nilibadilishe tu sina namna maana Shimba ya Buyenze aliwahi kunishauri siku chache nyuma ila sikuwahi kuona kama ni ishu sanaView attachment 3200902
Bora ujiite kijana mtaftaji! Au kijana wa uthubutu au kijana wa ndoto, kijana wa matumaini,maskini haikubaliki hata kwa ndugu zake!Hata kama anahoja haziheshimiwi .Tupa jina Hilo.
 
Anaweza kuwa maskini kivip? Unaelewa unachokiandika kweli wewe? Au unavyoelewa wewe unalazimisha mimi nielewe hivyo ? Ukijiita mat,,,,ko nikwel utabadilika na kuwa hivyo? Na hilo jina lina sound vizuri?
Fafanua basi ulimaanisha Nini mbona mi naona linasound good tu. Ameamua kujiita masikini Kama ilivyo Mimi nyoka in hahaha!
 
Back
Top Bottom