Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,637
Umeme mdogo umekuwa kero kwa watu wanao tumia vifaa vikubwa kama vile motor;mafriji n.k
Hata Stabilizer zimekuwa zikishindwa kukabiliana na tatizo hilo
Inafikia hatua vifaa hivyo havifanyi kazi kabisa na hali hiyo ya umeme mdogo imepelekea mara nyingi vifaa hivyo kuungua au kuharibika.
Hiki ni kifaa ambacho kimewasaidia wengi ambao wanaishi maeneo yenye low voltage
kifaa hiki ni Automatic low voltage boostrer

kinaondoa tatizo la umeme mdogo kwa asilimia 99%
Kifaa hiki kinatengenezwa kwa order tu kutokana na vipimo vitakavyo fanyika katika nyumba yako