Wanaoacha kutumia Sindano za Uzazi wa Mpango inawachukua muda gani kubeba ujauzito?

Wanaoacha kutumia Sindano za Uzazi wa Mpango inawachukua muda gani kubeba ujauzito?

Joined
Sep 23, 2024
Posts
73
Reaction score
73
IMG-20260213-WA0000.jpg
Unaweza kutumia njia mbalimbali za uzazi wa mpango ili kuzuia mimba, hiyo ni haki yako kama ilivyo kuwa ni haki yako kuchagua aina ya njia ambayo inafaa zaidi kwako.

Upande mwingine kuna dhana kuwa ukitumia dawa hizo hasa Sindano ya Uzazi wa Mpango zinaweza kuzuia usipate ujauzito tena lakini Wataalam wa Afya nimeona wanasema ukitumia kwa usahihi huwezi kupata madhara na utapata ujauzito, muhimu ni kuzungumza na Wataalam wa afya kabla ya kutumia, wakati wa kutumia na hata unapotaka kuacha kutumia ili wakupe njia sahihi.
 
Sema Africa tuna shida sana.

Tunapenda mapenzi sana.
Yaani mtu ukirudi kwako tuu unawaza kuipiga na kukojolea ndani.

Siku za mwanamke kubeba mimba ni chache ila bado hatuwezi kuzivumilia hadi mtu akachomwe sindano mara kitanzi mara sijui nini.


Ukishakuwa na mke ikibidi mwanaume ndo unae fatilia siku za mke wako ili kuweka mipango vema ya lini muwe na mtoto na lini msije mkapata mimba yoyote.

Nina mke ambae tangu ajifungu mtoto wa kwanza hajawah tumia uzazi wowote zaidi ya Tarehe zake tu na sa hivi ni mwaka wa nne. Hajawahi pata mimba wala hata kumeza P2. Akisha Ingia period tu naweka kumbukumbu kichwani. Naelewa lini nikiwa nae ni hatari lini sio hatari.

Mbona zinavumilika hizo siku kama hazivumiliki basi uweze kujiongeza hata mwaga nje.

Ikiwa mwanaume huwezi kuvumilia ishu kama hizo kuna asilimia kubwa ya kuendeshwa hata na wanawake wengine mana u mwepesi wa kuendekeza sex bila kujiongoza

Na hapa pia huchochea mwanaume kusingiziwa mtoto akiwa mwanamke wako ni malaya. Mana wewe si kila ukimuona una kula tuu bila mpangilio hivyo akipata mimba huko nje akisema ni yako huwezi kataa wala hata kupata mashaka. Ila ikiwa mwanaume ndo unaepanga mtoto iwe lini sio rahisi kujichotea mimba njee na kuleta ndani akijua una kula ki mpangilio
 
Unajua hizi njia za uzazi wa mpango inafaa mwanamke apimwe hormone ili dactari apendekeze njia inayomfaa.
Ila hizi zetu za kupima kwa macho Mungu atusaidie
Binafsi nafikiri Condom na Calendar ndio njia bora sana kwa wanandoa
Nasema wanandoa kwa sababu mtoto akija kwa bahati mbaya mtampokea
 
Muwape darasa wadogo zenu wa kike na watoto wenu wasitumie uzaz wa mpango endapo hawajawah zaaa na vizur kutumia haswa Kwa ambao wako kwenye ndoa
Sipo kwenye ndoa Sasa uzaz wa mpango wa Nini Mimi yangu calendar mambo swafi
 
Muwape darasa wadogo zenu wa kike na watoto wenu wasitumie uzaz wa mpango endapo hawajawah zaaa na vizur kutumia haswa Kwa ambao wako kwenye ndoa
Sipo kwenye ndoa Sasa uzaz wa mpango wa Nini Mimi yangu calendar mambo swafi

Kama haupo kwenye ndoa Calendar inaweza kukuponza ukaibuka na UKIMWI
Hawa Gen Y & Gen Z wana chovya chovya kila pahala..... Shauri yako!!!
 
Kama haupo kwenye ndoa Calendar inaweza kukuponza ukaibuka na UKIMWI
Hawa Gen Y & Gen Z wana chovya chovya kila pahala..... Shauri yako!!!
Ukimwi utapata endapo sio mtu wa kutulia
Ndo maana wakaleta condom
 
Ukimwi utapata endapo sio mtu wa kutulia
Ndo maana wakaleta condom

Wewe unaweza kutulia ILA utajuaje na mwenzako ametulia na hauko kwenye Ndoa
Niliona kwenye kipindi kimoja kwenye TV ya nje wadada na wakaka wanasimamishwa wataje wapenzi wao
approximately 75% walipopigiwa simu walitaja watu wengine inamaana --kuna udanganyifu wa hali ya juu kwenye mahusiano ya uchumba
 
Ndugu Zangu Zaeni Tanzania Bado Inahitaji Nguvu Kazi, Mapori Yapo
 
Back
Top Bottom