Wanaoajiriwa kwa njia ya connection kwa kupachikwa wanaingia na nundu mgongoni

Wanaoajiriwa kwa njia ya connection kwa kupachikwa wanaingia na nundu mgongoni

Hakuna kitu kama hicho ya mtumishi akifa Leo na kesho ni siku ya mshahala Kwa wizi uliopo mshahala huo hato pata 🤣🤣🤣 Kiufupi ukifa na lako limeisha inakuwa huwadai awakudai
 
Ndio maana hata wakiwa kazini hawafanyi kazi kwa bidii muda wao mwingi wanatumia kuwaza kubebwa hata wakiharibu kazi.

Wakiharibu kazi hawaogopi maana wanajua watabebwa.
Kwanini na wewe usiingie kwa kubebwa,ukiacha jitihafa binafsi ila nyota yako pia inakubeba kukufanya kukubalika
 
Back
Top Bottom