Wanaoajiriwa kwa njia ya connection kwa kupachikwa wanaingia na nundu mgongoni

Ndio maana hata wakiwa kazini hawafanyi kazi kwa bidii muda wao mwingi wanatumia kuwaza kubebwa hata wakiharibu kazi.

Wakiharibu kazi hawaogopi maana wanajua watabebwa.
Ndo imekuuma mkuu mpaka umekuja kuandika hapa?. Toa na wewe koneksheni kwa unaowapenda ili na wewe nundu litoke shingoni liende mgongoni
 
Hakuna kitu kama hicho ya mtumishi akifa Leo na kesho ni siku ya mshahala Kwa wizi uliopo mshahala huo hato pata 🤣🤣🤣 Kiufupi ukifa na lako limeisha inakuwa huwadai awakudai
 
Ndio maana hata wakiwa kazini hawafanyi kazi kwa bidii muda wao mwingi wanatumia kuwaza kubebwa hata wakiharibu kazi.

Wakiharibu kazi hawaogopi maana wanajua watabebwa.
Kwanini na wewe usiingie kwa kubebwa,ukiacha jitihafa binafsi ila nyota yako pia inakubeba kukufanya kukubalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…