Wanaoamini hakuna Mungu wana hoja, wasikilizwe

Wanaoamini hakuna Mungu wana hoja, wasikilizwe

Mungu yupo ila dini ni ukichaaaa flani hivi.........
..Islamic ili uamini lazima uwe kichaaaa flani hiv amazing

Christian ili uamini lazima uwe zoba flani amazing..
 
How can I communicate with them
Back to roots, angalia kwenu walifanya kipi Kwa ufanisi, anza kufanya kama walifuga Kwa mafanikio wewe fuga, kama walilima Kwa mafanikio wewe lima, usijikute unafanya biashara miaka yote hufanikiwi kumbe umepotea njia,
 
Hilo neno
 
Unaenda kutenga kichwa Kwa mtu eti anakuombea, na hela unamlipa, hujiulizi huyo mungu ambaye hajapungukiwa na kitu, aliejitosheleza ambae anatakiwa akupe wewe mwenye dhiki, anachukua na pesa yako kidogo tena habagui pesa iwe ya wizi, utapeli anachukua, sasa kwanza wanaosema umtolee mungu hua wanazituma vipi hizo pesa mnazowapa
 
Hyo NI utapeli hela wanaweka mfukoni
 
Sadaka ni kupunguza ukali wa maneno pale kinachotakiwa ni mali na pesa zako ndio wanataka upeleke, wanatofautisha tuu nyakati utaambiwa sadaka ya shukrani, unashukuru kipi sasa wakati una magumu kila leo
 
Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na walipomuhitaji Mungu hakuwasaidia.

Unakuta mtu ana jambo linalomnyima furaha kwenye maisha, ametafuta msaada kwa MUNGU nae hajamsaidia, sasa mtu anashikwa na gadhabu " Kweli huyu Mungu kama yupo kwanini hanisaidii kwenye hili? Na tunaambiwa NI Mungu muweza wa yote"

Unajua kuna mengi Sana yanaendelea kwenye hii Dunia unajiuliza Mungu anaona kweli? Na kama anaona mbona hazuii haya??

Kwamimi naona hawa Atheist ⚛️ Wana hoja wasikilizwe, Mimi binafsi sio Atheist lakini kuna mambo yanatokea kila kukicha naona kama mbona kama hawa jamaa Wana hoja? Yani kila siku zinavyoenda naona kama hawa jamaa wana point.

Binafsi napata utata, siamini kama Dunia ilitokea tuu from no where, naamini lazima alikuwepo muumbaji lakini wasiwasi wangu NI KWELI HIZI SIFA ZA HUYU MUUMBAJI "Mungu" tunazozisikia na kuzisoma zina ukweli?

Je Mungu ana huruma kweli? Mbona yanayoyokea sioni kama kweli ana huruma na watu wake?

Mimi naona Ni
*Mbinafsi
*Hana huruma
*Kiburi
*Kuna mambo yako nnje ya uwezo wake

Au nawaza baada ya kuumba ulimwengu na vilivyomo, yeye akamtupa shetani na majini duniani Sisi binadamu wake anaotupenda tupambane, halafu yeye akakaa pembeni!?

Nataman sana niabudu DINI za asili ambazo zilikuepo kabla ya ujio wa waarabu na wazungu, lakini nashindwa nianzie wapi Mimi Nina asili ya Kagera japo sipajui.

Kwasasa nikiona mtu anaenda kanisani Yani naona kama ametoka kudanganywa 😀 sijui nimeshaathirika kisaikolojia, kanisani sijawah kukanyaga mwaka wa 15 huu ( lakini cha kushangaza Mimi ni mtu mwema kuliko hata hao wanaojazana kanisani maana wengi nakaa nao huku mtaani, wengi walevi tuu na wanapenda sana ch*pi!

Nipe muongozo wakuu kua muumini wa DINI za asili kabla ya ujio wa waarabu na wazungu naanzia wapi??
Umeongea point sana ndugu yangu ila naomba niongezee kitu,,Mungu yupo ila njia/dini iliyoletwa na wazungu sio njia/dini sahihi ya kumuabudu Mungu,ile ni njia ya kuwanufaisha wavuvi wachache waweze kuwanyonya wenye nguvu na wachapa kazi wengi ivyo kwa sisi waafrika njia sahihi ya kumuabudu Mungu na kuweza kuuona ukuu wake kwenye maisha yetu ni NJIA ZA ASILI ZA BABU ZETU!!!
 
Hizo njia sasa ndio nataman sana nizijue, nataman nijikite huko
 
Hizo njia sasa ndio nataman sana nizijue, nataman nijikite huko
Nenda nyumbani kwenu I mean at your genesis,tafuta wazee watakuonyesha njia sahihi za kupita kwa kuwa kila njia zipo nyingi na tofauti kulingana na kabila na ukanda
 
Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na walipomuhitaji Mungu hakuwasaidia.

Unakuta mtu ana jambo linalomnyima furaha kwenye maisha, ametafuta msaada kwa MUNGU nae hajamsaidia, sasa mtu anashikwa na gadhabu " Kweli huyu Mungu kama yupo kwanini hanisaidii kwenye hili? Na tunaambiwa NI Mungu muweza wa yote"

Unajua kuna mengi Sana yanaendelea kwenye hii Dunia unajiuliza Mungu anaona kweli? Na kama anaona mbona hazuii haya??

Kwamimi naona hawa Atheist ⚛️ Wana hoja wasikilizwe, Mimi binafsi sio Atheist lakini kuna mambo yanatokea kila kukicha naona kama mbona kama hawa jamaa Wana hoja? Yani kila siku zinavyoenda naona kama hawa jamaa wana point.

Binafsi napata utata, siamini kama Dunia ilitokea tuu from no where, naamini lazima alikuwepo muumbaji lakini wasiwasi wangu NI KWELI HIZI SIFA ZA HUYU MUUMBAJI "Mungu" tunazozisikia na kuzisoma zina ukweli?

Je Mungu ana huruma kweli? Mbona yanayoyokea sioni kama kweli ana huruma na watu wake?

Mimi naona Ni
*Mbinafsi
*Hana huruma
*Kiburi
*Kuna mambo yako nnje ya uwezo wake

Au nawaza baada ya kuumba ulimwengu na vilivyomo, yeye akamtupa shetani na majini duniani Sisi binadamu wake anaotupenda tupambane, halafu yeye akakaa pembeni!?

Nataman sana niabudu DINI za asili ambazo zilikuepo kabla ya ujio wa waarabu na wazungu, lakini nashindwa nianzie wapi Mimi Nina asili ya Kagera japo sipajui.

Kwasasa nikiona mtu anaenda kanisani Yani naona kama ametoka kudanganywa 😀 sijui nimeshaathirika kisaikolojia, kanisani sijawah kukanyaga mwaka wa 15 huu ( lakini cha kushangaza Mimi ni mtu mwema kuliko hata hao wanaojazana kanisani maana wengi nakaa nao huku mtaani, wengi walevi tuu na wanapenda sana ch*pi!

Nipe muongozo wakuu kua muumini wa DINI za asili kabla ya ujio wa waarabu na wazungu naanzia wapi??
Kumbafu zako
 
Wengi hamjui kuna Atheist na agnostic!.
atheist hawaamini kama kuna Mungu,kiufupi hawa ni kama walishachungulia ulimwengu wote wakaona hayupo! kitu ambacho hawana hakika!.

agnostic hajui/hawana hakika kama kuna Mungu,hapa ndipo ninaposimamia mimi japo hoja nyingi za atheist na agnostic zinawiana!.

labda kiujumla niandike hivi sina mashaka yoyote kuhusu nadharia ya Umungu/Mungu.. ni sawa inawezekana kabisa kukawa kuna Mungu alieumba tuyaonayo.
mimi napinga sana hii Miungu/Mungu wanaoabudiwa hapa duniani naona hawajajitosheleza kabisa! wamepewa sifa nyingi mno kiasi kwamba nyengine zinajisigina zenyewe kwa zenyewe!.. hapo bado sijagusia wanaoabudu masanamu hao nao ndio mazwazwa yaliyopata zero point zero!.

Hakuna mungu wamuujiza kama mnavyoaminishwa!,hayupo ni ulaghai mtupu! Mungu ambae ana double standard hafai kamwe! mungu ambae anamaarifa yote lkn anatumia njia za ajabu sana kwenye kutatua vitu!. kivipi unawezaje kuamini dhambi ziliondolewa kwa kumtoa kafara mwanae..? yeye ndio mungu hiyo kafara alikuwa anamtolea nani..?
imekaa kama vile nae kuna kitu kinamtumikisha!.
ajabu kwaajili ya dhambi za binadamu dhambi hizo bado hazijafutwa ndio maana unaambiwa ukifa utahukumiwa! how come wakati yupo aliezifuta! it's a big liar of all time!.

ukiwauliza Mungu ni muweza wa kila kitu watakujibu ndio! hichi ni kitu cha hovyo mno! Mungu hatakiwi kuweza kila kitu kwasababu akiweza kila kitu basi kayatimba sana!. mfano kwa wakati mmoja aweze kushindwa na asishindwe! hii hoja kuielewa ule kwanza mtu asije tu hovyo atatoka na aibu hapa!..
shida zipo nyingi kuhusu Mungu na miungu inayoabudiwa hapa duniani kiufupi imepewa sifa ambazo kiuhalisia hawafanani nazo!.

Nini maoni yangu kuhusu nadharia ya Mungu/Umungu..
maoni yangu huenda kukawa kuna mungu ndio lkn namna anavyoenenda ni tofauti na tunavyofikiria!, sidhani kama yupo kama sisi tunavyomtafakari na Mungu anaweza asiwe hata ni kiumbe ni aidha system yenye ufahamu ambayo imekaa kiutendaji na sio kimiujiza!.
na hana haja yakujisumbua sana na matendo yetu ni alipomaliza shughuli yake ndo ikamaliza!,mifumo aliyoweka inajitosheleza hana haja yakuturejearejea!.
cha
yote kwa yote binadamu bado hatujazijua sheria nyingi sana za kiulimwengu!,nyingi mno na ndio maana bado kuna maswali tunashindwa kuyajibu mfano tu hatuna hakika hata juu ya chanzo chetu kama tungekuwa tunajua hakuna mtu angehangaika na dini kila kukicha!! huwezi kuhangaika maji wakati unajua chanzo cha maji kipo sehemu fulani na ni hakika!,hatuna hakika ndio maana imani ni nyingi!.
voingozi wenu wa imani wanaujua ukweli hawawezi kukuonyesha chochote cha Mungu maana nao pia kama wewe hawamjui!.

Na kuna wapuuzi wanapinga sayansi wanashindwa kuelewa sayansi ndio inatafsiri Mungu anafanya nini,anaongea nini...?
nikujibidiisha kuujua ulimwengu na sheria zake tutaelewa tu! japo si kazi rahisi!.
mwenye kuelewa na aelewe na mwenye kukaza shingo na akaze ila viongozi wenu wa imani ukweli wanaujua na wameamua tu kutulia wafanye maisha,tena muda mwengine huwa wanawaambia kabisa ila waumini vichwa ngumu hamuelewi!!..
hawajui na hawamjui.
 
Back
Top Bottom