Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hao ni wale mashabiki ambao Ismail Aden Rage aliwaita mbumbumbu. Mashabiki wa Yanga tunaamini katika falsafa ya mpira ni dakika 90!
Tuna wachezaji wenye uzoefu na haya mashindano! Hivyo lolote linaweza kutokea. Tumeshathibitisha ubora wa kikosi chetu kwenye Ligi ya ndani! Hivyo hata Kimataifa bado tuna nafasi ya kufanya vizuri.
Wanaonuna na wanune. Ila huu ndiyo ukweli wenyewe.
Akuna mwenye akili timamu anahangaika na pimbi wa umbumbuni waache wajipe furaha ya muda mfupiWanaosema timu yetu haiwezi kufuzu, tukifuzu watakuwa upande wetu na wataelezea kitaalam kwa nini tumefuzu.
.
Kwa hiyo tunaheshimu mawazo yao na tunaomba waendelee kuizungumza timu yetu ili tupate mahali pa kuboresha kutoka kwenye maoni wanayotoa.
.
Hatupo hapa kumzuia mwandishi/mchambuzi yeyote kuizungumzia Yanga.
.
Tupo hapa kushirikiana na vyombo vya habari na wachambuzi kuhakikisha Yanga inakuwa brand kubwa Afrika..... Ali Kamwe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nyinyi ni km mwenge mmeenda kimakosa tu huko...Nyie ni wa hapa hapa tu huko kwingine waachieni SIMBA ....SIMBA .....keshokutwa sio mbali tuombe uhai tu watu tucheke kichapo cha mtaniHao ni wale mashabiki wachache ambao Ismail Aden Rage wakati fulani, aliwaita mbumbumbu. Mashabiki wa Yanga tunaamini katika falsafa ya mpira ni dakika 90!
Tuna wachezaji wenye uzoefu na haya mashindano! Hivyo lolote linaweza kutokea. Tumeshathibitisha ubora wa kikosi chetu kwenye Ligi ya ndani! Hivyo hata Kimataifa bado tuna nafasi ya kufanya vizuri.
Wanaonuna na wanune. Ila huu ndiyo ukweli wenyewe.
Hivi natakiwa kujibu maswali ya aina hii kweli mimi ambaye hiyo airport yenyewe tu naiona kwenye tv!!Hivi ile ada yenu ya kupokea wageni airport mlikuwa mkiwaza nin ninyi utopolo????
Mmetoka mkuu haya maneno ya kwenye Kanga hayawasaidii.. mnaenda kule Kwa wadogo Caf..Hao ni wale mashabiki wachache ambao Ismail Aden Rage wakati fulani, aliwaita mbumbumbu. Mashabiki wa Yanga tunaamini katika falsafa ya mpira ni dakika 90!
Tuna wachezaji wenye uzoefu na haya mashindano! Hivyo lolote linaweza kutokea. Tumeshathibitisha ubora wa kikosi chetu kwenye Ligi ya ndani! Hivyo hata Kimataifa bado tuna nafasi ya kufanya vizuri.
Wanaonuna na wanune. Ila huu ndiyo ukweli wenyewe.
Siyo suala la kutoaamini bali hiyo ni fact kuwa Utopolo wanaenda kupigwa kama dufu kule SudanWanaosema timu yetu haiwezi kufuzu, tukifuzu watakuwa upande wetu na wataelezea kitaalam kwa nini tumefuzu.
.
Kwa hiyo tunaheshimu mawazo yao na tunaomba waendelee kuizungumza timu yetu ili tupate mahali pa kuboresha kutoka kwenye maoni wanayotoa.
.
Hatupo hapa kumzuia mwandishi/mchambuzi yeyote kuizungumzia Yanga.
.
Tupo hapa kushirikiana na vyombo vya habari na wachambuzi kuhakikisha Yanga inakuwa brand kubwa Afrika..... Ali Kamwe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tunaendaje kimakosa, na wakati msimu uliopita tulikuwa ni mabingwa wa makombe yote? Uko serious kweli mkurugenzi?Nyinyi ni km mwenge mmeenda kimakosa tu huko...Nyie ni wa hapa hapa tu huko kwingine waachieni SIMBA ....SIMBA .....keshokutwa sio mbali tuombe uhai tu watu tucheke kichapo cha mtani
Usijitoe ufahamu ni kawaida yenu watopolo kwenda kuwapokea washindani wa Simba.Hivi natakiwa kujibu maswali ya aina hii kweli mimi ambaye hiyo airport yenyewe tu naiona kwenye tv!!
Mimi nakushauri uwaulize hao wenzako mnaokutana huko airport kuwapokea hao wageni wenu.
Watoto wa siku hizi mnaharibu sana lugha ya kiswahili! What is the meaning of "Sudan utoki"!!![emoji41][emoji196]View attachment 2386737
Nyinyi mbumbumbu ndiyo mnaojitoa ufahamu.Usijitoe ufahamu ni kawaida yenu watopolo kwenda kuwapokea washindani wa Simba.
Watani mm nawaambia huko sudan mmeenda kwa bahati tu na kosa kubwa mmepanda boti ya vibwengo yaaan kichapo mtakacho kipata huko ni aibu yenu wala si ya taifa ..maana SIMBA ndo inawakilisha taifa.Tunaendaje kimakosa, na wakati msimu uliopita tulikuwa ni mabingwa wa makombe yote? Uko serious kweli mkurugenzi?
Nadhani nyinyi wenyewe ndiyo mnatakiwa kujitathmini. Maana mlipata hiyo nafasi baada ya kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi.
Wana nafasi huko shirikishoNyinyi ni km mwenge mmeenda kimakosa tu huko...Nyie ni wa hapa hapa tu huko kwingine waachieni SIMBA ....SIMBA .....keshokutwa sio mbali tuombe uhai tu watu tucheke kichapo cha mtani