Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wanaosema timu yetu haiwezi kufuzu, tukifuzu watakuwa upande wetu na wataelezea kitaalam kwa nini tumefuzu.
.
Kwa hiyo tunaheshimu mawazo yao na tunaomba waendelee kuizungumza timu yetu ili tupate mahali pa kuboresha kutoka kwenye maoni wanayotoa.
.
Hatupo hapa kumzuia mwandishi/mchambuzi yeyote kuizungumzia Yanga.
.
Tupo hapa kushirikiana na vyombo vya habari na wachambuzi kuhakikisha Yanga inakuwa brand kubwa Afrika.... Ali Kamwe.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app