Wanaoamini Yanga haitafuzu, waacheni waamini watakavyo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachezaji wana uzoefu ila mmekubali kubakwa nyumbani kwenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga mnatafuta huruma za watanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kupita hatutopita aliesrma Yanga ni kama MWENGE wa uhuru hakukosea kilele ni Leo Kagera.
Mimi ni Yanga pia ila hatutopita🤣
 
Sasa ndio mnaamini katika dakika 90 lakini walivyokua wanakuja kucheza na nyie mlisema mtawapiga kama ngoma [emoji1][emoji1]
 
Huyu si alisema akifika Sudani ataanza kukwea Ngamia na kuswamba nao kitaa... imekuaje tena ? [emoji23]
 
Bado wana mambo ya kizamani sana
 

Attachments

  • Screenshot_2022-10-14-16-55-09-297_com.twitter.android.jpg
    146.9 KB · Views: 3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachezaji wana uzoefu ila mmekubali kubakwa nyumbani kwenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umebadilisha ID. Bahati nzuri nimekugundua mapema.
 
Nitafurahi mkifuzu, ila mkipigwa nitafurahi zaid
 
Kwa kifupi ni rahisi sana kwa Azam kufuzu kwa kushinda goli 4 kuliko Yanga kupata walau sare kwa Al Hilal
 
Kumbukeni shirikisho kuna berkane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atawalala nje ndani yule
 
Timu bovu hilo msijipe matumaini uchwara. Hata confederation haitafuzu.
 
Yanga haitoboi... mtabaki hapa hapa kupanda yutong...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…