92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachezaji wana uzoefu ila mmekubali kubakwa nyumbani kwenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao ni wale mashabiki wachache ambao Ismail Aden Rage wakati fulani, aliwaita mbumbumbu. Mashabiki wa Yanga tunaamini katika falsafa ya mpira ni dakika 90!
Tuna wachezaji wenye uzoefu na haya mashindano! Hivyo lolote linaweza kutokea. Tumeshathibitisha ubora wa kikosi chetu kwenye Ligi ya ndani! Hivyo hata Kimataifa bado tuna nafasi ya kufanya vizuri.
Wanaonuna na wanune. Ila huu ndiyo ukweli wenyewe.