permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Gamondi alikosa heshima kwenye approach ya ile game.Ni wa kawaida sana sema kila mtu anatakiwa ashinde mechi zake za Nyumbani. Hawa wa algeria sio wazuri sana sema walitumia approach ya yanga ya ile game kuwaadhibu.
HAPO PATAKUWA PATAMU SANA
Yanga walifunguka walitaka kumaliza game kule kuleKama umeangalia mpira vizuri medeama hawajacheza mpira wa kumfunga yang, nlichokiona yanga alikosea plan ya kumfunga CRB, Leo waarabu walikua frustrated sana na hyo yanga wakija wacheze hivo
Sure sure, hawa kwa mkapa watakula nakoz za kutoshaYanga walichomeshwa na Kipa wao mzembe.....Belouzdad si chochote
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Wakati kinachotakiwa ni points, unaachiwa ucheze mpira ila wakufunga magoli ni waoweekachambeu maharage tuu.ukikosea plan ndio uzaifuwako huo unapigwa usilete longolongo zako zakama yanga angefanya hivi ingekuwa vile.
yanga waliachiwa wakae nampila sababu washaonekana hawana mazara yoyote wakimiliki wahuni wakawa wanacheza kwa timing tuu
unamiliki boli dakikachache unaona wavuwako unatikisika wahuni wanakuita kati [emoji16] uendelee kukata viuno ukizubaa tena chumaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaitwa kati tena badae ooo tumemiliki mpira kuzidi wao[emoji16]
Shindwa, kesho al ahly analia, cr akija analia, madeama akija analia, point tisa hzo, tukienda kwa al ahly draw, madeama kwake analia, hatujapita?Niliyasema haya, jamaa wako vizuri sana. Waarabu sijui kwa nini wana mentality wakiwa nje wanacheza mpira ronyoronyo sana. Hawa wakienda kurudiana Algeria watapelekewa moto hautadhani ndiyo CRB waliocheza leo.
Ila nilitaka CRB washinde leo ili safari ya kumzika uto iwe fupi zaidi
Kama mlishindwa kuifunga BELOUIZDAD halafu uje uifunge Al Ahly. Ni ndoto
Ulivyopangilia utafikiri mpira ni rahisi.Shindwa, kesho al ahly analia, cr akija analia, madeama akija analia, point tisa hzo, tukienda kwa al ahly draw, madeama kwake analia, hatujapita?
internet never forget, nipo paleee, labda mods wafute koment yanguUlivyopangilia utafikiri mpira ni rahisi.
Kesho mkikomaa sana ni draw ila kuifunga msahau. Mnawakumbuka Al Hilal?
Kumbuka hii ni club bingwa
Ili ushindi uwe mnono na uwe na furaha zaidi weka mkeka u-betia Yanga. Ukiweka milion 1 utapata milion 2.internet never forget, nipo paleee, labda mods wafute koment yangu
Huko hapo na tablet yako ya serikali, unamponda tu metacha wa watuYanga walichomeshwa na Kipa wao mzembe.....Belouzdad si chochote
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Shindwa, kesho al ahly analia, cr akija analia, madeama akija analia, point tisa hzo, tukienda kwa al ahly draw, madeama kwake analia, hatujapita?
Mkuu unawezaje quote comment yako kwenye uzi mwingine tofauti kama hapa ulivyofanyaNiliyasema haya, jamaa wako vizuri sana. Waarabu sijui kwa nini wana mentality wakiwa nje wanacheza mpira ronyoronyo sana. Hawa wakienda kurudiana Algeria watapelekewa moto hautadhani ndiyo CRB waliocheza leo.
Ila nilitaka CRB washinde leo ili safari ya kumzika uto iwe fupi zaidi
Wewe ASEC Memosas kakutoa jasho nyumbani huoni ila umekomaa na ya jiraniKama mlishindwa kuifunga BELOUIZDAD halafu uje uifunge Al Ahly. Ni ndoto
Al Ahly baada ya kucheza na Simba basi wanayanga wanachukulia game rahisi. USM Alger walichukulia point 3 hapo hapo kwa Mkapa.
Kazi mnayo wanayanga. Mnaikumbuka Al Hilal?
Ni kwamba timu yenu mmeikatia tamaa au ni nini kesho mna mechi ila akili zote kwa YangaUto hii CL hawaiwezi.
Wakacheze shirikisho ndio size yake.
Chini ya comment unayotaka kuquote bonyeza "Quote" halafu nenda katika uzi unaotaka kuiweka, kwenye box la kureply chini hapo bonyeza "Insert quotes", itakuonyesha quote unayotaka kuweka, bonyeza "Quote messages".Mkuu unawezaje quote comment yako kwenye uzi mwingine tofauti kama hapa ulivyofanya