Wanaoangalia sasa hivi Madeama vs Belouizdad Yanga kazi wanayo

Wanaoangalia sasa hivi Madeama vs Belouizdad Yanga kazi wanayo

Kama umeangalia mpira vizuri medeama hawajacheza mpira wa kumfunga yang, nlichokiona yanga alikosea plan ya kumfunga CRB, Leo waarabu walikua frustrated sana na hyo yanga wakija wacheze hivo
Yanga walifunguka walitaka kumaliza game kule kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
weekachambeu maharage tuu.ukikosea plan ndio uzaifuwako huo unapigwa usilete longolongo zako zakama yanga angefanya hivi ingekuwa vile.
yanga waliachiwa wakae nampila sababu washaonekana hawana mazara yoyote wakimiliki wahuni wakawa wanacheza kwa timing tuu

unamiliki boli dakikachache unaona wavuwako unatikisika wahuni wanakuita kati [emoji16] uendelee kukata viuno ukizubaa tena chumaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaitwa kati tena badae ooo tumemiliki mpira kuzidi wao[emoji16]
Wakati kinachotakiwa ni points, unaachiwa ucheze mpira ila wakufunga magoli ni wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki kisa kinanikumbusha mbwa mkali anayebweka akiwa nyumbani kwake akitoka nje anakutana na majibwa makubwa anakuwa mpole.
 
Niliyasema haya, jamaa wako vizuri sana. Waarabu sijui kwa nini wana mentality wakiwa nje wanacheza mpira ronyoronyo sana. Hawa wakienda kurudiana Algeria watapelekewa moto hautadhani ndiyo CRB waliocheza leo.

Ila nilitaka CRB washinde leo ili safari ya kumzika uto iwe fupi zaidi
Shindwa, kesho al ahly analia, cr akija analia, madeama akija analia, point tisa hzo, tukienda kwa al ahly draw, madeama kwake analia, hatujapita?
 
Na Yanga Kesho anshinda

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Kama mlishindwa kuifunga BELOUIZDAD halafu uje uifunge Al Ahly. Ni ndoto
Al Ahly baada ya kucheza na Simba basi wanayanga wanachukulia game rahisi. USM Alger walichukulia point 3 hapo hapo kwa Mkapa.
Kazi mnayo wanayanga. Mnaikumbuka Al Hilal?
 
Shindwa, kesho al ahly analia, cr akija analia, madeama akija analia, point tisa hzo, tukienda kwa al ahly draw, madeama kwake analia, hatujapita?
Ulivyopangilia utafikiri mpira ni rahisi.
Kesho mkikomaa sana ni draw ila kuifunga msahau. Mnawakumbuka Al Hilal?
Kumbuka hii ni club bingwa
 
internet never forget, nipo paleee, labda mods wafute koment yangu
Ili ushindi uwe mnono na uwe na furaha zaidi weka mkeka u-betia Yanga. Ukiweka milion 1 utapata milion 2.
Kama mnafikria Simba alifungwa goli 5 na Yanga halafu Simba na Al Ahly walitoka draw nje ndani basi hii game itawapoza kesho
Kumbuka mnacheza na bingwa wa Champion League aliyechukua kombe kwahiyo usifikirie ni jambo rahisi sana pia ana maumivu ya kupoteza African Super Cup
 
Maunyaaama kesho yanapigwa ngozi🤣🤣 mbili bila. Unaenda na babu Bocco CL!
 
Niliyasema haya, jamaa wako vizuri sana. Waarabu sijui kwa nini wana mentality wakiwa nje wanacheza mpira ronyoronyo sana. Hawa wakienda kurudiana Algeria watapelekewa moto hautadhani ndiyo CRB waliocheza leo.

Ila nilitaka CRB washinde leo ili safari ya kumzika uto iwe fupi zaidi
Mkuu unawezaje quote comment yako kwenye uzi mwingine tofauti kama hapa ulivyofanya
 
Kama mlishindwa kuifunga BELOUIZDAD halafu uje uifunge Al Ahly. Ni ndoto
Al Ahly baada ya kucheza na Simba basi wanayanga wanachukulia game rahisi. USM Alger walichukulia point 3 hapo hapo kwa Mkapa.
Kazi mnayo wanayanga. Mnaikumbuka Al Hilal?
Wewe ASEC Memosas kakutoa jasho nyumbani huoni ila umekomaa na ya jirani
 
Mkuu unawezaje quote comment yako kwenye uzi mwingine tofauti kama hapa ulivyofanya
Chini ya comment unayotaka kuquote bonyeza "Quote" halafu nenda katika uzi unaotaka kuiweka, kwenye box la kureply chini hapo bonyeza "Insert quotes", itakuonyesha quote unayotaka kuweka, bonyeza "Quote messages".

Unaweza pia kuquote message zaidi ya moja kwa pamoja, unachotakiwa kufanya nenda katika kila message unayotaka halafu bonyeza "Quote" halafu malizia nilivyosema hapo juu na itakuonyesha list ya messages zote.
 
Back
Top Bottom