Wanaoangalia sasa hivi Madeama vs Belouizdad Yanga kazi wanayo

Nilipoona Mwamnyeto Yuko bench nikajua tumekwisha. Halafu tulifunguka kiboya Sana.
 
Yanga walikuwa na shida ya umaliziaji pia.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Watu wengi hawaelewi shida ya yanga hawana striker sasa wategemee magoli yafungwe kutoka midfield ya akina Aziz ki na Nzengeli ni kazi sana kwenye hizi mechi ngumu. Ukaishia hao wawili kazi umemaliza.


Yanga watam Miss sana mayele ndo alikua Messi wa yanga game nyingi hizi ngumu alikua anaziamua yeye mwenyewe.

Game ya leo yanga hata akifungwa goli moja atakupa amejitahidi sana. Yanga haendi popote labda dunia ipasuke.
 

Hili kundi ni gumu saana
Goli za kufunga na kufungwa ndo zitaamua wa kusonga mbele
 
Kipa wa Yanga mechi ya Algeria alichokua anadaka hata akieleweki akirudishiwa mpira tabu wao wakishambulia tabu daaah...
 
Leo Mwarabu anakufa iwe isiwe lazima afe tu akicheza ule mpira aliocheza na mnyama labda abadilike ...sijamuona Tau kwenye mazoezi yao ya Jana yule mtu ni kirusi sana...
 
maelezo mzuri👏👏👏
 
Yanga malengo

Ama hakika unastaili kupimwa malinda

Ukisema uchukulie serious kila kinachosemwa humu JF hutaweza hata kupumua[emoji23] “akili za kuambiwa changanya na zako”

Umetuma sh ngapi tukuchangie mkuu?


Mkuu naona kuna deposit kwa njia ya simu pamoja na prepaid card ya halotel vipi zinakubali hata ku-withdraw?

🤣🤣🤣
 
Hili kundi kila timu itashinda nyumbani. Atakayekuwa na magoli mengi ndio atafuzu
Hakuna kitu km hicho. Yanga kumfunga Al Ahly ni mbingu na ardhi. Hutaweza kukubali nachosema maana watu wanatembelea matokeo ya Simba vs Yanga ya 1-5 na wakati huo huo Simba akidrow na Al Ahly. Yanga wakiendelea kutembelea matokeo hayo ya 5 wamekwisha. Watapgwa nje ndani na Al Ahly.

Muda ni mwalimu mzuri, bado masaa machache tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…