Wanaoangalia sasa hivi Madeama vs Belouizdad Yanga kazi wanayo

Kila timu ina mfumo wake usichanganye mambo... Ngoja tusubirie baadae tutaongea lugha moja.
 
Mkuu hili Kundi D, hata Al Ahaly asipofanya juhudi anaweza asitoboe robo fainali. Kundi gumu ni balaa.
Hakuna kitu km hicho, huyu A ataongoza kundi mapema tu. Hivi nyie mnamchukulia poa sababu ka drow na Simba mnayodhani ni mbovu , subiri leo muone.
 
Bado hamjasema.
 
Medeama ni timu yenye makosa mengi kuliko usahihi kwenye vitendo vya Wachezaji. Kwa mpira wa Jana bado najiuliza Belouizdad waliifungaje Yanga.
 
Medeama ni timu yenye makosa mengi kuliko usahihi kwenye vitendo vya Wachezaji. Kwa mpira wa Jana bado najiuliza Belouizdad waliifungaje Yanga.
Wachache Sana wanaliona Hilo, mwenyewe najiuliza mpaka sasa HV
Hata Ile penalty waliyopewa Ni laini mno
Kifupi Belouzdad wala Si timu ya kutisha
 
Mechi ngumu ya Yanga iliyobakia ni game na Al Ahly Cairo. Mechi ya leo Yanga kaicheza kwa adabu kubwa tofauti na ile ya awali ambayo alifunguka tu bila kulinda ipasavyo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mpira siyo logic au hesabu. Kuna factors nyingi sana xiazoamua mchezo. Timu A ikiifunga timu B na timu B ikamfunga timu C siyo lazima timu A ikaifunga timu C. Kinacho kusukuma kuandika hata ni ushabiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…