Ni mara nyingi nimekuwa nikikutana na watu kubeza aina hii ya wafanyabiashara, utasikia “huyo kazikuta kwao,” kana kwamba hilo ndio tiketi ya kufanikiwa kibiashara, ukweli ni kwamba, sio kila anayekuta biashara au kupewa mtaji anaweza kuiendesha, kuikuza au hata kuidumisha.
Wengi wamekabidhiwa biashara zikiwa imara, lakini ndani ya muda mfupi zimeshuka au kufungwa kabisa.
Ni wangapi walizikuta pesa na mitaji ya kuanzisha biashara lakini leo hawana mwelekeo ? wengi
Hii inatufundisha jambo moja muhimu, mafanikio ya biashara hayategemei ulipoanzia tu, bali yanategemea nidhamu, maono, uthubutu na uwezo wa kusimamia kile ulichonacho. Kurithi biashara ni mwanzo mzuri, lakini si dhamana ya ushindi.
Wale wanaoanza kutoka sifuri wanastahili pongezi kubwa. Wanabeba mzigo wa hatari, wanajifunza kwa makosa yao wenyewe na wanapitia stages nyingi kujenga mtandao na rasilimali. pongezi kubwa kwao
Lakini pia tusiwapuuze wale waliokuta biashara na wakaikuza. Kuendeleza urithi na kuuboresha si jambo rahisi kama wengi wanavyodhani. bado inahitaji nidhamu ya fedha, ubunifu, kuchukua risks, kujenga networks mpya, uongozi, uwezo wa kubadilika na nyakati.
Ni mara nyingi nimekuwa nikikutana na watu kubeza aina hii ya wafanyabiashara, utasikia "huyo kazikuta kwao "