Wanaobeza ushindi wa Simba sc, wajue kuwa katika mechi 5 zilizopigwa mpaka leo hakuna timu iliyoshinda kwa tofauti ya zaidi ya goli moja

Wabishi Tu hawa Makolo, inatakiwa waje kujifundisha kwenu Yanga namna ya kucheza game za away na pia muwaazime lile likocha lenu hatari aka professor Nabi, ambalo lilifukuzwa kazi baada ya kutolewa kwenye mashindano ya mwanaume club bingwa

na mwisho kabisa muwaazime mabeki wenu vijana ambao waliweza kuwazuia rivers wasipate goal nyumbani na ugenini, na kama itawezekena basi muwape na super striker Mayele aka Benzema ambae aliwapiga goal za kutosha rivers utd home and away.
 
Mayele hakucheza.
 
Rivers walishawakaa mdomoni kufanyia rejea akuna kingine, mnapotekenywa mnakimbilia mechi ya rivers, unaposemea timu yenye beki bora tanzania ni yanga,,unaposemea timu yenye safu kali ya ushambuliaji ni yanga nafikiri kila kitu ni takwimu, usilinganishe vitu apo maji na mafuta vinajitenga, mikia mmefunga goli ngapi na mmefungwa goli ngapi? Takwimu zinawatupa mbali na zinaonyesha mlivyo na timu ya roho mkononi,,,uyo Nabi unaemng'ong'a mnatamani kuwa nae, Mzee wenu wa madrid amfikii ata robo kimbinu na kiufundi kutengeneza timu na ndio maana anaongoza kwa kila kitu kitakwimu,,amekuacha alama 10,,amefungwa magoli machache 5,,amefunga magoli 33, ayo yote ayakuja kwa bahati mbaya bali kwa uwezo wa benchi imara la ufundi na usajili bora ivyo vijembe aviwezi kuondoa uhalisia
 
Wewe timu Ina Mugalu na Kibu alafu unataka Magoli mengi uyatoe wapi!! Bila penalty ya mchongo na kuzima VAR ata ilo Moja halikuwepo.
"Another one"

aliejaza kamasi kichwani
 
Sasa mkuu mbona unapovuka Sana, Mie si nimetoa ushauri kwa Makolo mbona kama hueleweki unasimamia nini?

Alafu kwani wakifungwa Makolo sie Yanga tunaumia nini? Tukikaa tu tukatuliza ball na kuangalia vile makolo yanaenda kufungwa huko south Africa huku tukienjoy ujio wa kombe letu la NBC tutapungukiwa nini?
 
Subiri match ya marudiano ndio utajua umuhimu wa kufunga magoli mengi ukiwa kwako.
Unadhani ni rahisi tu kama Netball

Halafu hii hatua ni mtoano siyo hatua ya makundi, ambapo Simba SC akipata sare yoyote anapita hata bila kufungana.

Hizi ni game Kubwa kwa Wakubwa, Unadhani Orlando Pirates hata hilo moja walitaka..!!..Umesikia Mzee Wanjiru?
 
Wewe ni mshabiki wa simba?
Nani kakwambia kuwa mashabiki wa simba hawana furaha?

Utopolo ndio hawana furaha ukiwemo na wewe

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Unataka tutolee mfano kwa timu ipi wakati mlicheza na Rivers tu? Au tuwape mfano wa wasomalia wahanga wa vita mliotoa nao droo kwa Mkapa? Mtu hutolewa mifano kwa alichokifanya wala siyo vinginevyo.
 
Mayele hakucheza.
Kwa wasomali alifunga mangapi? Kwa Zanaco siku yenu ya mwananchi alifunga mangapi? Au hizo mechi zote hakucheza? Kwa taarifa yako , mayele anafunga kwenye mechi ambazo mazingira yameshaandaliwa na giesiem ili ateteme kuwafurahisha misukule wa utopoloni. Mechi ambazo hazijaandaliwa mazingira , mayele huwa anageuka kuwa kibuda.
 
Kwanza mlisema simba atafungwa,
Sasa hivi mnasema kimoja hakitoshi hii nchi hii [emoji119]


Anashindiliwa pirates ,kichefuchefu anapata utopolo....
Maajabu hayaishi

Kapoooombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....
Show me the waaaaaaaayyyyyy
Anawainua wanasimba uwanjaniiiiiiiiiii
Anawainua mashabiki elfu sitini hapa lupaso
Nani kasema simba haendi nusuuuuuuuu?
Uwanja unazizimaaaaaaaaaaaaa.......

Utaratibu ni ule uleeeeeeeeeee....
Utaratibu ni ule uleeeeeeeeeeeeeee......
Heshma ya Taifa la Tanzania ipo mabegani kwa wana Lunyasi........
Ukinuna uwe na sababuuuuuuuuuu
Simba inaibeba Nchi na wananchi wakeeeeeeee

Aghaaaaa aghaaaaa aghaaaaaaa

Hii ndio siri ya amaniiiiiiii na furahaaaaaaa
Simba sports clubbbbbbbbb
Simba sports clubbbbbbbbbbbb.............

Nani anatesekaaaaaaaaaaaaaaaa.......

This isssssssssssss SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA........

Pole wewe unayepata sononeko la moyo
Njoo simba raha zipo hukuuuuuuuuuu
























Mtangazaji wa jana aliua sana

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Haya ndio majibu sasa

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Takwimu gani?
Yaani ufananishe watu wanaokutana na timu bingwa afrika na hawa wanaocheza na mafunzo na mlandege?hebu kuweni siriasi basi nyie utopolo dah

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Takwimu gani?
Yaani ufananishe watu wanaokutana na timu bingwa afrika na hawa wanaocheza na mafunzo na mlandege?hebu kuweni siriasi basi nyie utopolo dah

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kwani hao unaowaita mafunzo na mlandege ulivyokutana nao uliwafunga goli ngapi? Kipimo cha kwanza kukuonyesha timu yako ikoje ni izo timu unazozidharau wewe kwa maana uwezi kupata tiket ya kushiriki ligi ya mabingwa au kombe la shirikisho bila kufanya vizuri kwenye ligi ya ndani, Sasa Kama umeshindwa ushindani wa ligi ya ndani uko nje ndo utaweza? Mpira sio miujiza, mpira ni uwekezaji na kuwa na wachezaji bora, Kama unamtegemea mshambuliaji aina ya mugalu, au kibu denis ndo wakupe matokeo kwenye mechi kubwa unaanza kwanza kuwatathmini kuanzia ligi ya ndani wanazo goli ngapi mpaka sasa? Kama ligi ya ndani tu unayoidharau wewe wameshindwa kufunga vipi mashindano makubwa wanaweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…