Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Wapo wengi tu!!!!Sijui ajenda zao ni zipi nyuma ya pazia!!!Watu gani has wanaochukia mapinduzi ya Zanzibar?
Hao wanaosem Okello ndio muasisi wa Zanzibar?Wapo wengi tu!!!!Sijui ajenda zao ni zipi nyuma ya pazia!!!
Mm naona wanaandaa kabisa mihadhara kumkashifu mzee wetu Karume.Hao watu ni adui kwa taifa na mapinduzi matukufu ya Zanzibar
Hapana bali wale wanaomponda mzee karume na okello!!!Na mapinduzi kwa ujumlaHao wanaosem Okello ndio muasisi wa Zanzibar?
Kaka wengine ni wabantu kabisa kama sisi!!Hao ni mabaki ya sultani,wanaitwa waarabu koko,
Hawa ni maadui wakubwa kabisa, walitaka Mzee Karume afanyeje? atuache chini ya utawala dhalimu wa Usultani?Mm naona wanaandaa kabisa mihadhara kumkashifu mzee wetu karume
Mapinduzi hayo yanatusaidia nini TanganyikaKuna watu hapa afrika mashariki wanabeza sana mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Mh Okello na kufanya miadhara kuyaponda!!!Wana ajenda gani nyuma ya pazia???
Mapinduzi au Mavamizi ?.....historia kuhusu kilichotokea 12/1/1964 inahitaji kuandikwa vizuri...Kuna watu hapa afrika mashariki wanabeza sana mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Mh Okello na kufanya miadhara kuyaponda!!!Wana ajenda gani nyuma ya pazia???
Wanadai hizbu ilishinda kihhalali uchaguzi wa zanzbar kabla ya mapinduzi!!!!!Wapo kkoo na tabora mjini kazi yao ni kuyaponda mapinduzi ya zanzbarHawa ni maadui wakubwa kabisa, walitaka Mzee Karume afanyeje? atuache chini ya utawala dhalimu wa Usultani?
Kauli yao kuu ni mvamizi sio mapinduzi!!!!Mapinduzi au Mavamizi ?.....historia kuhusu kilichotokea 12/1/1964 inahitaji kuandikwa vizuri...
Mohamed Said JokaKuu Pascal Mayalla Gavana dos.2020
Upo sahii kuuliza hivyo ila nikipata nafasi nitakujibu kwa kirefu mdogo wanguMapinduzi hayo yanatusaidia nini Tanganyika
Wanaita mavamizi sio mapinduziHawa ni maadui wakubwa kabisa, walitaka Mzee Karume afanyeje? atuache chini ya utawala dhalimu wa Usultani?
Hiyo hizbu si ndio ilikuwa na waarabu wengi?Wanadai hizbu ilishinda kihhalali uchaguzi wa zanzbar kabla ya mapinduzi!!!!!Wapo kkoo na tabora mjini kazi yao ni kuyaponda mapinduzi ya zanzbar
Ni washenzi, uvamizi ni kinachoendelea huko Ukraine 🇺🇦Wanaita mavamizi sio mapinduzi
Hivi ajenda yao kuu ni ipi huko mbeleni???Hiyo hizbu si ndio ilikuwa na waarabu wengi?
Halafu si ndio hiyo ilikuwa tayari kutawala chini ya Sultan?
Kwa ubaguzi wa wazi unaooneshwa na wazanzibar dhidi ya watanganyika, sitaona ajabu watu kuyaponda hayo mapinduzi.Kaka wengine ni wabantu kabisa kama sisi!!