Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #561
Hawa wachambuzi ukiwatizama tu utajua ajenda zao.Kuna watu mlikua mnafurahia kua vitwana na watumwa wa walowezi wa kiarabu na mlikua tayari kua watumwa vizazi vyenu vyote kwa kisingizio cha nasaba na dini
Mzee najua unachukia sana mapinduzi ya zanzbar kwa sababu zako binafsi na jamaa wa hizbuNelson...
Lugha hizo za "kandamizi"na mfano wa hayo yako hayapo kwa Wazanzibari.
Hutosikia lugha hiyo Zanzibar.
Yako kwako wewe Mtanganyika.
Wazanzibari wako katika kutafuta utangamano na amani ya nchi yao.
Mimealikwa Zanzibar mara nne kuzungumza hadharani na kwenye FM Stations.
NInayozungumza hapa ndiyo nizungumzayo Zanzibar.
Sijahama popote ila wewe unapenda kuiona Zanzibar ikiwa katika utengano na farka.
Nelson...Mzee najua unachukia sana mapinduzi ya zanzbar kwa sababu zako binafsi na jamaa wa hizbu
Nelson...Hawa wachambuzi ukiwatizama tu utajua ajenda zao.Kuna watu mlikua mnafurahia kua vitwana na watumwa wa walowezi wa kiarabu na mlikua tayari kua watumwa vizazi vyenu vyote kwa kisingizio cha nasaba na dini
Hapana unanificha ukweli wa moyo wako rafiki yangu.Unachukia watu waliompindua mlowezi wa kiarabu zanzbar.Lakini sikulaumu maana waafrika nawajua mnakumbatia mila na desturi na mna mahaba na wageni wakoloni.Ajenda ya wazanzibar sio uchaguzi bali kulinda mapinduzi rafiki yangu.Nelson...
Sijui kama nachukia mapinduzi kwa sababu zangu binafsi.
Mapinduzi yametokea nina umri wa miaka 12.
Sijui nitakuwa na maslahi gani na Hizbu.
Kadri itakavyokuwa.
Leo Wazanzibari ajenda yao ni uchaguzi wa haki na wa wazi Wazanzibari wachague viongozi wawatakao.
Najua hutaki kukubali ukweli kua waarabu walowezi waliwafanya wabantu wazanzibari watumwa na vijakazi kabla ya 1964.Sikulaumu mapokeo ya dini za wageni yamekuathiri na kuona kama walowezi waarabu waliopinduliwa zanzibari ni miungu watu.Nelson...
Hayo unayozungumza ya utwana na utumwa ndiyo yanayowashughulisha Wazanzibari baada ya mapinduzi ya 1964?
Nelson...Hapana unanificha ukweli wa moyo wako rafiki yangu.Unachukia watu waliompindua mlowezi wa kiarabu zanzbar.Lakini sikulaumu maana waafrika nawajua mnakumbatia mila na desturi na mna mahaba na wageni wakoloni.Ajenda ya wazanzibar sio uchaguzi bali kulinda mapinduzi rafiki yangu.
Wapi aliandika Tanzania bara ni Nchi
Jibu hili Swali
Nelson,
Huwa sikwepi swali.
Ubaguzi siku zote tunao katika jamii ila unapishana kwa viwango.
Mimi naweza nikakuuliza Tanzania Bara kuna ubaguzi?
Nini jibu lako?
Upo sahii rafiki yangu toka enzi za babu yetu mtukufu mwami Isike hatukuwahi kuwapenda walowezi wa kiarabu na vibaraka wao.Tulifanya mapinduzi kuwaondoa kwa sababu ya dhuluma zao kwa karne.Na yoyote anaepinga mapinduzi ni adui wa ASP.Nelson...
Una chuki na Waarabu.
Kuna kitu unaogopa kukisema unaona salama yako ni kuwaandama Waarabu.
Lakini Waarabu hawako tena Zanzibar.
Wewe unawapenda na ulikua tayari kua mtumwa mwaminifu wa Jamshid.Nadhani unamshukuru sana mtukufu mwenyekiti wetu Karume kukuletea ukombozi mwaka 1964Nelson...
Una chuki na Waarabu.
Kuna kitu unaogopa kukisema unaona salama yako ni kuwaandama Waarabu.
Lakini Waarabu hawako tena Zanzibar.
Hiyo tanzania bara ni nchi ya wapi?ubaguzi upi unaouzungumzia?
Nelson...Wewe unawapenda na ulikua tayari kua mtumwa mwaminifu wa Jamshid.Nadhani unamshukuru sana mtukufu mwenyekiti wetu Karume kukuletea ukombozi mwaka 1964
Mimi nakuelewa rafiki yangu usijali,huwezi kua na kiburi.Watu wa kariakoo ni waungwana.Nelson...
Ningeweza nisikujibu.
Lakini sipendi uhisi nimekupuuza ukadhani nina kibri.
Kuna watu hapa Afrika Mashariki wanabeza sana mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Mh Okello na kufanya miadhara kuyaponda!
Wana ajenda gani nyuma ya pazia?
Nelson, hayo mapinduzi yana maana gani tena karne hii. Kulinda mapinduzi ni kichaka wanachojificha viongozi wa CCM kubaki madarakani. Ni sawa tu na huku bara, watawala wanatumia propaganda ya neno la Tanzania ni kisiwa cha amani na kwamba chama kingine cha siasa kinachoundwa na Watanzania walewale kikichukuwa madaraka hiyo amani itatoweka. Ni mbinu ya watawala wanayoitumia kuwabagua wapinzani na kuwapumbaza wananchi au wapiga kura.Kuna watu hapa Afrika Mashariki wanabeza sana mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Mh Okello na kufanya miadhara kuyaponda!
Wana ajenda gani nyuma ya pazia?