Wanaodai hawatumii kilevi chochote ila Wine wanakunywa imekaaje hii?

Hata mimi nimeacha pombe kbs! Ila hapa nilipo nimeshika glass ya wine! hapo awali nilikuwa mnywaji wa bia na pombe zingine kali kali, sasa nimeacha kbs!
 
Nipo huku Iringa watu wanajisifu hawapigi pombe,ila ni wanywaji wazuri wa ulianzia mpaka wanalala mtaroni huko🤣🤣
 
Urusi hata bia zinahesabika kuwa ni "soft drinks" kwahiyo mtu anaekunywa vinywaji laini kama wine, bia nk hawezi sema anakunywa pombe.
 
Kwa hiyo mmeamua kuja kutusimanga wanywa wine tuonekane sawa na wa beer🤔!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…