britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Huenda uko sahihi, je ikitokea wote wameidhinishwa na Nec kugombea Urais je mtahamia kwa nani? na kwanini?
Mimi nakushauri uzime data usifungue vitu vinavyokukera huku mtandaoni.Kila mwenye access na internet kawa mpiga ramli siku hizi.
25th August wala siyo mbali sana.
Ndiyo yeyeKuna logic! Kama wana nia ya kuungana, ni matter ya mmoja kujitoa mwishoni if all two will be certified! , this also can work effectively!
Nikuulize, hivi Britanicca wa Twitter ndio wwe?
Wapi nimesema vinanikera?Mimi nakushauri uzime data usifungue vitu vinavyokukera huku mtandaoni.
Deep sanaMawazo yako yanaanza na kuenguliwa, halafu unaita wengine wavivu wa kufikiri
Kama.una adui mkubwa nafsini kwako, ni kuona kila.fikra zako ziko deep kuliko za wengine
Wagombea wote ambao watarudisha fomu majina yao yatakuwa kwenye karatasi ya kura hata kama atajitoa mwishoni. Unless huyo mgombea ni tishio hasa kwa Magufuli.Kuna logic! Kama wana nia ya kuungana, ni matter ya mmoja kujitoa mwishoni if all two will be certified! , this also can work effectively!
Nikuulize, hivi Britanicca wa Twitter ndio wwe?
sasa kule identiy yako si inaweza kuwa traced! take care pleaseNdiyo yeye
Ni ngumu sana Proxy zangu za uhakika, japo kuna mtu alijaribu kulogin wakanipa notificationsasa kule identiy yako si inaweza kuwa traced! take care please
Kuna logic! Kama wana nia ya kuungana, ni matter ya mmoja kujitoa mwishoni if all two will be certified! , this also can work effectively!
Nikuulize, hivi Britanicca wa Twitter ndio wwe?
Nakuelewa vyema kabisa, utupe zile mbinu mlizokuwa mnatumia CCM kutuibia kuraNdiyo yeye
What is important is for the public to note that "somebody" be it Lisu/Membe has withdrawn his name though printed!Wagombea wote ambao watarudisha fomu majina yao yatakuwa keenye karatasi ya kura hata kama atajitos mwishoni.
Uzuri wa CCM ni chama Katili, dhulumati na joka katili amvalo ubaradhuri wake uko underated na wadanganyika
NtaziwekaNakuelewa vyema kabisa, utupe zile mbinu mlizokuwa mnatumia CCM kutuibia kura
Kumbe ccm na NEC wana hila hii ovu ya kuengua kwa ukatili mgombea mmojawapo wa upinzani?wakiengua mgombea mmojawapo kwa ukatili, wananchi wanahamia upande mwengine
Keep my wordKumbe ccm na NEC wana hila hii ovu ya kuengua kwa ukatili mgombea mmojawapo wa upinzani?