Wanaodhani Zamaradi mjinga hawajui anataka ubunge

Kwani Ruge anashindana na Serikali?!
 
Ila wanaume jamani,loh, Zamaradi Kishakojoleshwa na Ruge mara kibao na kamzalia watoto wawili bado mtu anamtaka tu,Mbona kuna wadada hata hawajazaa jamani mnawaacha? Ama mnataka uzoefu wa kazi?
 
Mtasema sana sana, ila Rugeeee alijua akimzalisha baasi atamlilia hapo daily akizungushe akiweza amuoe asipoweza aoe mwingine. Sasa mdada kawahi
Hivi ni Ruge alieamua kumzalisha Zamaradi au zamaradi ndio aliamua kuzaa na Ruge? Alizaa akijua ndio kumfunga amuoe ila alijua sana wengi wameachwa jamaaa hajaamua kuoa kumsema Ruge kamzalisha ili aliliwe si kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…