Wanaodhani Zamaradi mjinga hawajui anataka ubunge

Wanaodhani Zamaradi mjinga hawajui anataka ubunge

Mimi nampenda RC nampenda sanaaaaaaaa .


Ruge asipokua makin atapoteza kila kitu ,,kama anadhan Manji alitaka yatokee yalomkuta ngoja ahangaike.

Wasipofunga ,, watawakazia wapunguze zaidi nguvu ya urushwaji mawimbi yao ,Mara clouds fm itaanza kulegea Mara clouds TV ..alafu mwisho wasiku kidogo tu atajichenga ,,wanafunga nakufunga..

Yeye anamali ..ila uwe tajiri vipi HUWEZI KUSHINDANA NA SERIKALI.
Kwani Ruge anashindana na Serikali?!
 
Ila wanaume jamani,loh, Zamaradi Kishakojoleshwa na Ruge mara kibao na kamzalia watoto wawili bado mtu anamtaka tu,Mbona kuna wadada hata hawajazaa jamani mnawaacha? Ama mnataka uzoefu wa kazi?
 
Mtasema sana sana, ila Rugeeee alijua akimzalisha baasi atamlilia hapo daily akizungushe akiweza amuoe asipoweza aoe mwingine. Sasa mdada kawahi
Hivi ni Ruge alieamua kumzalisha Zamaradi au zamaradi ndio aliamua kuzaa na Ruge? Alizaa akijua ndio kumfunga amuoe ila alijua sana wengi wameachwa jamaaa hajaamua kuoa kumsema Ruge kamzalisha ili aliliwe si kweli.
 
Back
Top Bottom