Wanaodhani Zamaradi mjinga hawajui anataka ubunge

...nikae mbali na wewe kwani nimekugandia?
..hii ni open forum,
.unajuaje thread hainihusu.
.korchputana!
kiboko yenu ni bashite ,unakusanywa ushahidi tu wa video jinsi mnavyokulaga maunga yenu hayo yanayowafanya mropokwe mkiwa hewani,kesi isshe,vilaza nyie
 
...teh hee hee.
..endelea kulala mkund.u juu,
.unaweza ukamnyea mungu!
 
Kwaufupi kuna mwanamme mmoja anayeenda kuharibikiwa mambo mpaka ajishangae niyeye au ...

Ruge mpigie magoti RC mambo yaishe ...usitegemee kushindana naserikali nawala usidhan Zamaradi kuna siku atakufikilia !!!.

Alafu kwa mnaozani mission town ,, hana mishe,, imekula kwenu !!!! Kajamaaa kazi yake kanayofanya inatosha kumtusha Zama ,,, watoto ,,kumpa miradi haahahahahhaa .........

Endeleen kudharau watu kwa kuwaona ,,baadhi yakazi zinakulazim uonekane km mjinga lkn ndo zonaela...
 
despite ninavyomchukia Rc bashite/makonda ila kiukweli naona kabisa jinsi Ruge anavypoteza influence awamu hii,hiyo miaka 8 iliyobaki akifanya mchezo clouds watapotea bongo
 
mazungumzo yako ni minduku,mavi ,na kutoa ndogo maana ndo michezo yenu hapo kwenye hicho kituo chenu cha wala unga na magasho
Ze ndindi ..ngoja nikusaidie mkuuu.

Embu Fanya ivi ,, Anayekutukana na kukujibu Ovyo Mkalie kimya..kaaa kimyaaa nakuomba kaaaa kimyaaa.

Ukimya wako utampa maswali mengi sana kichwan ,,ambayo mwisho atajiona umemdharau na atajihisi inferior !!.

Acha kujibizana ,,utaonekana unatabia mbaya bure.
 
...ndo lugha unayoielewa wewe hanithi majimoto!
..una id kibaao,afu zote ni usengeusenge tu wa kufuatilia maisha ya watu!
.ishi maisha yako,
.choko wewe!
 
despite ninavyomchukia Rc bashite/makonda ila kiukweli naona kabisa jinsi Ruge anavypoteza influence awamu hii,hiyo miaka 8 iliyobaki akifanya mchezo clouds watapotea bongo
Mimi nampenda RC nampenda sanaaaaaaaa .

Ruge asipokua makin atapoteza kila kitu ,,kama anadhan Manji alitaka yatokee yalomkuta ngoja ahangaike.

Wasipofunga ,, watawakazia wapunguze zaidi nguvu ya urushwaji mawimbi yao ,Mara clouds fm itaanza kulegea Mara clouds TV ..alafu mwisho wasiku kidogo tu atajichenga ,,wanafunga nakufunga..

Yeye anamali ..ila uwe tajiri vipi HUWEZI KUSHINDANA NA SERIKALI.
 
...ndo lugha unayoielewa wewe hanithi majimoto!
..una id kibaao,afu zote ni usengeusenge tu wa kufuatilia maisha ya watu!
.ishi maisha yako,
.choko wewe!
ukiingia redioni umevuta maunga na bangi unajioonaa mjanja,mlitishiwa nyau mwanza mkakimbia kama machoko mbiombio,mkikaa kwenye social media matuusi meengi kumbe kibokjo yenu anawachora,queers.
 
Ze ndindi ..ngoja nikusaidie mkuuu.

Embu Fanya ivi ,, Anayekutukana na kukujibu Ovyo Mkalie kimya..kaaa kimyaaa nakuomba kaaaa kimyaaa.

Ukimya wako utampa maswali mengi sana kichwan ,,ambayo mwisho atajiona umemdharau na atajihisi inferior !!.

Acha kujibizana ,,utaonekana unatabia mbaya bure.
...lione senge jingine hili!
..kwahiyo mimi kudharauliwa na misenge kama nyinyi.,
.ntapungukiwa nini
 
Ze ndindi ..ngoja nikusaidie mkuuu.

Embu Fanya ivi ,, Anayekutukana na kukujibu Ovyo Mkalie kimya..kaaa kimyaaa nakuomba kaaaa kimyaaa.

Ukimya wako utampa maswali mengi sana kichwan ,,ambayo mwisho atajiona umemdharau na atajihisi inferior !!.

Acha kujibizana ,,utaonekana unatabia mbaya bure.
nimekupata kiongozi,nishamhisi ni nani,ila ni wa palepale kile kituo mbaya zaidi robo tatu yao wanakula unga,nafikiri siku Rc anapokea video yao wakila unga itakuwa sherehe kubwa sana,nampotezea.
 
Uncle alishasema hajaenda ikulu kutafuta mchumba, ila nashangaa mijitu bado haijamwelewa tu [emoji1]
 
nimekupata kiongozi,nishamhisi ni nani,ila ni wa palepale kile kituo mbaya zaidi robo tatu yao wanakula unga,nafikiri siku Rc anapokea video yao wakila unga itakuwa sherehe kubwa sana,nampotezea.
...endelea kuhisi tu!
..na ntakuletea fuso la shanga uisubiri hiyo sherehe kubwa;
.punga punguani!
 
Kwaufupi kuna mwanamme mmoja anayeenda kuharibikiwa mambo mpaka ajishangae niyeye au ...

Ruge mpigie magoti RC mambo yaishe ...usitegemee kushindana naserikali nawala usidhan Zamaradi kuna siku atakufikilia !!!.

Alafu kwa mnaozani mission town ,, hana mishe,, imekula kwenu !!!! Kajamaaa kazi yake kanayofanya inatosha kumtusha Zama ,,, watoto ,,kumpa miradi haahahahahhaa .........

Endeleen kudharau watu kwa kuwaona ,,baadhi yakazi zinakulazim uonekane km mjinga lkn ndo zonaela...
Umefanya nitafakari zaidi
 
Ni kweli mkuu,Manji alikwama padogo sana.Sasa ana bill ya Bilioni 12.Yaani hana tofauti na ACACIA au Lugumi!apende asipende atatazitema tu
Kama akili zenu ndogo zinawatuma kwamba mnamkomowa Manji basi mkafanyiwe vipimo vya akili maana hamna hata data Manji ameajili Watanzania wangapi na wana wategemezi wangapi.

Endeeleni tu na akili za Abunuwasi.
 
Kwa hiyo hata kama mtu amekwepa kodi asidaiwe kisa kaajiri wengi?
 
Niende straight kwenye point,huyu bibiye toka zamani anatamani sana ubunge na umaarufu
toka aliposhinda miss mwanza 2005 wazazi wake wakaja juu sababu ya uislamu akaachia akaingia c2c 2006 ,akahustle kijanja akaingia clouds na kufanikiwa kumkamata mikononi bwana ruge na kuzaa naye watoto wawili.

2010 alijaribu ubunge kupitia uvccm akaangauka vibaya kwa kupata kura tatu kwenye maoni ila kikazi na kimaisha aliimprove kwa msaada mkubwa wa bwana ruge ambaye sasa kisiasa hakumsaidia lolote haswa ukichukulia kipindi cha kikwete Ruge alikuwa na say kidogo siyo kama sasa hivi ambapo amekuwa kama kina sie kajamba nani(pia kulikuwa na fununu za Ruge kuahidi kuwasaidia mwana fa na niki wa pili kupata ubunge lakini ikashindikana)

Nafikiri bibiye alichungulia mbali,ndoa haoni,anaishia kugombana na ma baby mama wengine wa tht huku kampata kijana ambaye mara tunaambiwa ni mdogo wa mheshimiwa kasim majaliwa ,mara tunaambiwa alikuwa shamba boy wake ila all in all zamaradi yuko kwenye right channel ya kuupata ubunge hata wa viti maalumu 2020,huku waziri mkuu huku bashite.

Sasa nyie watangazaji wa clouds haswa mchomvu adamu uliyetukana kwenye post mjiulize dada anajiamini nini haliliiii kazi?
Umenikumbusha Judith Wambura Lady JD!!
 
Mtasema sana sana, ila Rugeeee alijua akimzalisha baasi atamlilia hapo daily akizungushe akiweza amuoe asipoweza aoe mwingine. Sasa mdada kawahi
 
Back
Top Bottom