God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
duu nkazan wanajulikana kumbe... mbona hela kidogo sana hiyo?hao hawalipwi na serikali ila kuna madalali wa kazi ndo wameingia ubia na serikali na mishahara yao haizidi laki na nusu
Hii ndo TANZANIA YA VIWANDA wakati VIWANDANI MSHAHARA 4000/= KWA MASAA 12duu nkazan wanajulikana kumbe... mbona hela kidogo sana hiyo?
kwani hiyo habari inahusianaje na mada hapo juu?Hii ndo TANZANIA YA VIWANDA wakati VIWANDANI MSHAHARA 4000/= KWA MASAA 12
Hata "men" huwa wapo. Ofisi nyingi zinaingia contract na kampuni then kampuni ndo inabeba administration ya hao watu. Kampuni mara zote zinavuta pesa nyingi sana kwa kichwa ila mwisho wa siku wanawalipa hao wafanyakazi up to TShs. 150,000/= kwa wenye bahati. Imagine wanaishije mjini kama Dar.Za asubuhi.
Nauliza hawa wanawake wanaofagia maofisin wanalipwa shi ngapi? na kwa nini ni wananwake tuu why not men?.
wajinga ndio kipato chetu pia hapa mjini bora uwe na kazi kuliko kukosa kaziHata "men" huwa wapo. Ofisi nyingi zinaingia contract na kampuni then kampuni ndo inabeba administration ya hao watu. Kampuni mara zote zinavuta pesa nyingi sana kwa kichwa ila mwisho wa siku wanawalipa hao wafanyakazi up to TShs. 150,000/= kwa wenye bahati. Imagine wanaishije mjini kama Dar.