God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Za asubuhi.
Nauliza hawa wanawake wanaofagia maofisin wanalipwa shi ngapi? na kwa nini ni wananwake tuu why not men?
Wana elimu gani?
Nazungumzia ofisi za serikali tuu.
Nauliza hawa wanawake wanaofagia maofisin wanalipwa shi ngapi? na kwa nini ni wananwake tuu why not men?
Wana elimu gani?
Nazungumzia ofisi za serikali tuu.