Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo umeamua kumpiga kichwani na nyundo la kupasulia mawe 🤒😎Achana nae utoto na kutafuta attention jukwaani kunamsumbua
Ona sasaAchana nae utoto na kutafuta attention jukwaani kunamsumbua
Hapo umeshoot your shot au?Mtu kama Mzigua90 akinikubalia ntachepuka ili iweje? Kazi yangu itakuwa ni kutafuta hela na kumletea, nayeye kazi yake itakuwa kuhakikisha napata raha. Nasema uongo ndugu zangu?