Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Waelekeze nguvu misibani..maana misiba ni mingi siku hizi kuliko sherehe...maana misiban nako kuna sound,cameras,magari ya kukodi ya misiba,ukumbi/uwanja. Hii itapunguza watu kufia gest
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waongeze na tozo ya parking 100,000/= kwa kila tukio.
Tozo ya mazingira (uchafu/pollution) 100,000/=
Tozo ya kuacha kufanya kazi na kwenda kwenye sherehe 200,000/= kwa kila tukio.
Nasema uongo ndugu zangu?
kwan bang imeruhusiwa 😂😂😂😂Waelekeze nguvu misibani..maana misiba ni mingi siku hizi kuliko sherehe...maana misiban nako kuna sound,cameras,magari ya kukodi ya misiba,ukumbi/uwanja. Hii itapunguza watu kufia gest
... kila mpinzani atafikiwa maana walituchelewesha sana hawa watu!Aiseeee tumefikia kubaya, hata kama ni kukusanya kodi imekuwa too much.
Wilaya ya sengerema haipo jiji la mwanzaWATU wanaofanyakazi ya kupamba kumbi za starehe, kusherehesha (Ma-MC), wapishi wa sherehe na wapiga picha, watatakiwa kulipa ada na ushuru.
Ni baada ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema jijini Mwanza, kupitisha sheria ndogo za ada na ushuri ambazo tayari zimepata baraka za Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).
Barua iliyosainiwa na Emmanuel Kaponoke, Afisa Utamaduni wa halmashauri hiyo ya tarehe 15 Januari 2021 kwenda kwa walengwa, inabainisha ada hizo.
Washereheshaji (MC) watapaswa kulipa Sh.50,000 kwa sherehe moja huku wapambaji kumbi za burudani/sherehe watalipa Sh.30,000.
Wamiliki wa kumbi, unaochukua watu kati ya 100-200 ni Sh.50,000 kwa siku, ukumbi unaochukua watu kati ya 201-500 atalipa Sh.100,000.
Wapishi wa vyakula kwa siku moja ya tukio atapaswa kulipa Sh.30,000 na wapiga picha za video na mnato watapaswa kulipa Sh.30,000 huku muziki ikiwa ni Sh.30,000
“Kamwe, mmiliki wa ukumbi asiruhusu sherehe kufanyika ndani ya ukumbi wake bila kibali cha halmashauri,” inaeleza sehemu ya barua hiyo
“Ikumbukwe, ada hii ni kwa ajili ya kubali cha halmashauri tu na si gharama ya kukodi ukumbi.”
Viatu vilivyo kwenye miguu viwe 5000Waongezee na hii....
-kila chombo Cha usafiri kitakayoshiriki Kwenye msafara wa maharusi
- gari = 50,000
-bajaji= 30,000
-pikipiki= 20,000
-baskeli= 10,000
Aaawapi, husemi uongo mkuu.Waongeze na tozo ya parking 100,000/= kwa kila tukio.
Tozo ya mazingira (uchafu/pollution) 100,000/=
Tozo ya kuacha kufanya kazi na kwenda kwenye sherehe 200,000/= kwa kila tukio.
Nasema uongo ndugu zangu?
Kuna wendawazimu hudhani kuwa kumtoza mwananchi kodi ni kumnyima haki yake. Wasomi wetu wengi middle class wanajaa mitandaoni hapa kutuaminisha kuwa waandaaji sherehe na ma-mc ni masikini sana hawapaswi kulipa kodi.Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa